Niko katika kazi ya kuipeleka Tanzania kwenye new season in spiritual point of view leo tutaangalia jinsi gani Tanzania ni super power tuaangalia historical perspective na natura perspective
Kipindi cha utawala wa nyerere tuliona Tanzania ikijitoa kusaidia nchi nyingi za Afrika kuondokana na ukoloni hakuna nchi kama Tanzania ilijitoa kusaidia wenzake hii maanake nini kiroho Tanzania ni mzaliwa wa kwanza mfano tukija kwenye familia mtoto ambaye ni mzaliwa wa kwanza kiroho atakua na mzigo wa kusaidia ndugu zake na hatachoka same kwa Tanzania
Ukiangalia siasa za afrika mashariki utagundua kagame, museveni na kabila wale wote ni vijana wa nyerere kwa lugha nyingine wale waliingia madarakani kwa udhamini wa Tanzania ukiangalia kwa nchi za Afrika hakuna nchi iliyowahi kufanya kitu kama hichi cha Tanzania kwa sababu katika ulimwengu wa roho sio super power
Uwepo wa mlima kilimanjaro sote tunajua mlima kilimanjaro ni mlima mrefu afrika nzima kwa lugha nyingine lile ni lango kubwa sana kiroho ni basi tu sisi watanzania hatujapewa ufahamu wa kulitumia hili lango kwa faida zaidi
Katika ile kazi yangu ya kuipeleka Tanzania kwenye new season ishara ya mwisho itahusu mlima kilimanjaro ni ishara ipi ikifika mda utaiona wewe mwenyewe kwa macho yako ila mimi naijua ila fahamu haitahusika na kuua watu au kujeruhi ila ni ishara ya kawaida ila itashangaza dunia nzima
Ziwa Tanganyika na victoria haya maziwa mawili kwa sehemu kubwa sana yapo tanzania ila yanasifa ya kipekee sana
Hakuna ziwa kubwa Afrika nzima kama ziwa victoria na hakuna ziwa refu kwa kina na lenye maji mengi kama ziwa Tanganyika: kwa lugha nyingine haya ni malango katika ulimwengu wa roho, turudi kwenye topic yetu hakuna nchi ya afrika yenye mlima mrefu, na maziwa makubwa mawili yenye sifa ya kipekee kama Tanzania
TANZANIA NI SUPER POWER
Kwa hizo ishara mbili hapo juu ni wazi Tanzania ni super power kwa bara la afrika kama unavyoiona marekani kwa dunia yote, Tanzania nayo ni super power changamoto ni kwamba haijakaa kwenye nafasi yake spiritual ikikaa kwenye nafasi yake spiritual yatatokea mabadiliko ambayo dunia haijawahi kuyaona kwa mda mfupi

- Military base kama super power Tanzania inatakiwa iwe na military base across africa
- Uchumi Tanzania inatakiwa iwe na gdp kubwa kuzidi nchi zote za afrika
- Developed Tanzania inatakiwa the most developed country in africa
- Science and Technology tanzania inatakiwa the most developed country in Tanzania term of science and technology
- Sport Tanzania inatakiwa iwe dominant kwenye sport zaidi ya nchi yeyote Afrika
- Military intervention kama policeman wa Afrika Tanzania inatakiwa iwe na uwezo wa kuingilia nchi yeyote afrika kijeshi ambayo inafanya ujinga ujinga
- Misaada tanzania inatakiwa iwe ni last resort kwa nchi yeyote ya afrika ambayo inahitaji msaada
- Watu kukimbilia Tanzania kwa ajili ya kutafuta maisha mazuri; kama ilivyo ulaya watu wanavyokimbilia, marekani watu wanavyokimbilia na south afrika watu wanavyokimbili., Tanzania nayo watu wataanza kuikimbilia kwa ajili ya kuja kutafuta maisha mazuri