Kwa bara la Afrika Tanzania ni super power na mzaliwa wa kwanza kwa haki

Hapo saa hizi umepaukaaaaaaaa na suruali yako ya kitambaa ya kijani na mokasini zimeishaaaaaaa soli za brauni hazijapigwa kiwi tangu may mosi 2022 na shati la kitenge kubwaaaaaa limekuvaa la zambarau na maua ya njano na bahasha ya kaki una vyeti vyako vya sekondari kantalamba na cheti cha ualimu mkwawa University iringa umezungukaaaaร a ajira imekataa kabisa. Umetulia hapo kwenye ka tuition center unapiga tuition kuanzia cheke chea hadi University unafundisha mtu akijichanganya unaiona Tanzania superpower au vipi
 
Ahsante na nashukuru sana kama unalingine unarusiwa kulitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ