Kwa 'body language' tu ya Mama azungumzapo huhitaji Akili Kubwa kujua ya kwamba...

Umeeleweka mkuu
 
Msishindane na marehemu fanyeni yenu ya onekane. Marehemu alifanya na yalionekana Mijizi na Mafisadi ndio hawakuona hilo. Sasa mnapomnanga marehemu tunajiuliza ndio tuseme mijizi na mafisadi wamechukua hatamu tena? Je mlioko serikalini na utumishi wa umati wa Watanzania ambao hamkubalini na majizi na mafisadi mtakaa muangalie kinyonge kinyonge na msifanye lolote?
 
Hakuna kitu kitabadilisha maisha kuwa Bora zaid Kama hutojishughulisha na kufanya jambo kwa juhudi na ubunifu vinginevyo utazidi kunyooshea watu vidole na kuamini kuwa unalogwa au unaonewa kumbe the problem is you
Hapa nakubaliana na wewe Asilimia 💯 maana nawaambia watu bila kufanya kazi hela hamtaipata wala kuonekana, mara ooh hayupo aliekuwa anabania hela, nawaambia nyie mnacheza yani mchezo bado ni ule ule
 
Wabongo ndio wanapenda sana mambo haya kupetiwa petiwa....
mkimpata mtu anayewachana live kwa ukweli na kuwakaripia mnapokosea mnalia lia
 
Itakuwa umepatia, Ila ajue kwamba, atafanya yote Ila astarijie kupendwa na kila mtu
 
Mungu acheni anitwe Mungu..hua ana namna yake ta kutatua kero za watu wake.

#MaendeleoHayanaChama

Tunachosahau ni kuwa kila zama na nabii wake. Yule alikuwa na kazi ambayo ameikamilisha. Mwenyezi Mungu akampumzisha. Tugange yanayokuja
 
Nimesikiliza hotuba yake.Tone ni too soft na hii itawafanya watendaji wa-relax sana.Nahisi pia kwamba watendaji wataachiwa wafanye maamuzi mengi wao bila close monitoring.Hii ni hatari,kwa mustakabali mzima wa taifa,unless wao wenyewe wako committed to their people and development of the country.Maneno "kayaangalieni haya' yanakosa msisitizo na authority na yana akisi wasi wasi wangu.Tusubiri,ila I can sense dange,ila najua kwa comment yako hii,na kwa jinsi nilivyo kusoma,kwako msimamo wake utakuwa blessing.

Swala la kuunda kamati ya wataalamu ya ushauri wa C-19 ni nyeti sana.Kamati hii inahitaji wataalamu wenye weledi mkubwa kuhusu maswala yote ya COVID na the so called Covid vaccine,what it is and the true agenda behind it.Jinsi wanavyoweza kupata contents zilizopo ndani ya the C-19 gene therapy au kinachoitwa kwa makosa vaccine,kitu ambacho ni muhimu, watajua wao,ila ni muhimu kujua kama kweli hivyo therapy inafaa kwa matumizi ya wanadamu.Already we know kwamba haifai kufuatana na vifo na madhara mengi ambayo yame ripotiwa kwa watu ambayo wamepata hiyo DNA modifying therapy.

Niseme wazi,akina Bill Gates,Rockefeller, Rothschild, Anthony Fauci,WHO na the World Economic Forum macho yao yote sasa yataelekezwa kwenye members wa kamati hiyo,and how to influence the final decision of the committee.Ni muhimu kwa hiyo kila mmoja wao akafuatiliwa kwa ukaribu ili asije akatumiwa kuingiza nchi mkenge.Fedha nyingi sana itatembea hapo,ili ku-influence maamuzi!Niseme in advance,hapa napo I can sense danger.In short I am not optimistic!

Watu hawa wanahitaji pia wawe na ufahamu wa the inner workings of underground societies na agendas of the NWO.Bila kujua yote haya tutaingizwa mkenge sana.Wataalamu hawa pia wanatakiwa kuwa true nationalists and lovers of mother Tanzania.This is basic.

In summary,nini "nahisi" kiko mbele yetu👉A Possible reserval of whatever Magufuli stood had for,which will be a disaster for mother Tanzania and Tanzanians.Haraka yote hii ya ya kubadili mambo ni ya nini?Inatia shaka sana.
 
Eeh Mwenyezi Mungu ninakumba unipe uhai niweze kufurahia uongozi wa Rais wetu uliyetupa kama mkombozi wa mateso ya miaka 6. Kwa heshima kubwa picha yake itakuwa sebuleni ya nyumba yangu ili mpaka vilembwekeze wangu waikute. Picha hii itakuwa kwenye profile ZANGU zote social networks.

Tunakuombea maisha marefu Mh. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania
 
Hakuna kitu kitabadilisha maisha kuwa Bora zaid Kama hutojishughulisha na kufanya jambo kwa juhudi na ubunifu vinginevyo utazidi kunyooshea watu vidole na kuamini kuwa unalogwa au unaonewa kumbe the problem is you
ETi wanategemea mama ataleta pesa mifukoni mwao. Kawaletea sala mpya ya Angelus kwamba" Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…