PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
MUNGU ni fundi Sana ndiyo maana alimchukua marehemu POMBE mapema kabla ya mambo hayajaharibika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ametuona Watanzania........1. Baba Mbabe alikuwa hamshirikishi na huenda hata alitamani Kuachana nae
2. Ushauri wake ulikuwa ukipuuzwa na kudharauliwa na Baba
3. Hali ngumu ya Maisha imemkwaza Mama japo Baba aliona anatukomesha
4. Aliwaamini sana Waliodharauliwa na Baba ambao walikuwa Weledi kuliko aliyowateua Yeye Baba
5. Kuna Siri nyingi za Upigaji wa Miradi ya Baba ila alishindwa Kumwambia kwakuwa alishagundua anadharaulika nae
6. Baba Kukitenga sana Kisiwa anakotoka Mama kulimkwaza akiamini hata Kisiwa pia kina Haki ya Keki Tamu na Nono ya Ardhi ya Tanzania
7. Mama ameiva vyema Kidiplomasia na Kiustaraabu japo ana Ukali wa Kiumakini tofauti na Baba aliyekuwa na Ukali, Kukomoa, Chuki na Ujeuri wa Kibabe
Ni mapema mno Kumpongeza Mama ila tusikatae kuwa dalili ya Mvua ni Mawingu na ' Body Language ' ya Mama inaonyesha kuwa Kilio cha Ugumu wa Maisha ya Watanzania ( Vyuma Kukaza ) hata na Yeye ( Mama ) inamuuma.
Hivyo Kipaumbele chake sasa ni Kuturudishia Tabasamu lililopotea katika Sura za Watanzania tokea tarehe 25 Oktoba, 2015 hadi 17 Machi, 2021.
Tusubiri hiyo soon yakoSoon mtakuja kurudi hapa mnamkumbuka Magu
Akumbukwe kwa lipi? Kamaalifanya mazuri kwa kodi zetu basi tale mabaya yalifunika mazuri yote. Sitaki kuyataja maana yameshaongelewa sana. Kila zama na kitabu chake.Soon mtakuja kurudi hapa mnamkumbuka Magu
Njia za Mungu si za mwanadamu.MUNGU ni fundi Sana ndiyo maana alimchukua marehemu POMBE mapema kabla ya mambo hayajaharibika
Amefanyia kazi vitu vyote alivyokataa baba.1. Baba Mbabe alikuwa hamshirikishi na huenda hata alitamani Kuachana nae
2. Ushauri wake ulikuwa ukipuuzwa na kudharauliwa na Baba
3. Hali ngumu ya Maisha imemkwaza Mama japo Baba aliona anatukomesha
4. Aliwaamini sana Waliodharauliwa na Baba ambao walikuwa Weledi kuliko aliyowateua Yeye Baba
5. Kuna Siri nyingi za Upigaji wa Miradi ya Baba ila alishindwa Kumwambia kwakuwa alishagundua anadharaulika nae
6. Baba Kukitenga sana Kisiwa anakotoka Mama kulimkwaza akiamini hata Kisiwa pia kina Haki ya Keki Tamu na Nono ya Ardhi ya Tanzania
7. Mama ameiva vyema Kidiplomasia na Kiustaraabu japo ana Ukali wa Kiumakini tofauti na Baba aliyekuwa na Ukali, Kukomoa, Chuki na Ujeuri wa Kibabe
Ni mapema mno Kumpongeza Mama ila tusikatae kuwa dalili ya Mvua ni Mawingu na ' Body Language ' ya Mama inaonyesha kuwa Kilio cha Ugumu wa Maisha ya Watanzania ( Vyuma Kukaza ) hata na Yeye ( Mama ) inamuuma.
Hivyo Kipaumbele chake sasa ni Kuturudishia Tabasamu lililopotea katika Sura za Watanzania tokea tarehe 25 Oktoba, 2015 hadi 17 Machi, 2021.
Mzew Mwinyi alisema mkono wa Mama ni dawa! Naona taratiiibu tunaponywa na gonjwa la ukandamizaji1. Baba Mbabe alikuwa hamshirikishi na huenda hata alitamani Kuachana nae
2. Ushauri wake ulikuwa ukipuuzwa na kudharauliwa na Baba
3. Hali ngumu ya Maisha imemkwaza Mama japo Baba aliona anatukomesha
4. Aliwaamini sana Waliodharauliwa na Baba ambao walikuwa Weledi kuliko aliyowateua Yeye Baba
5. Kuna Siri nyingi za Upigaji wa Miradi ya Baba ila alishindwa Kumwambia kwakuwa alishagundua anadharaulika nae
6. Baba Kukitenga sana Kisiwa anakotoka Mama kulimkwaza akiamini hata Kisiwa pia kina Haki ya Keki Tamu na Nono ya Ardhi ya Tanzania
7. Mama ameiva vyema Kidiplomasia na Kiustaraabu japo ana Ukali wa Kiumakini tofauti na Baba aliyekuwa na Ukali, Kukomoa, Chuki na Ujeuri wa Kibabe
Ni mapema mno Kumpongeza Mama ila tusikatae kuwa dalili ya Mvua ni Mawingu na ' Body Language ' ya Mama inaonyesha kuwa Kilio cha Ugumu wa Maisha ya Watanzania ( Vyuma Kukaza ) hata na Yeye ( Mama ) inamuuma.
Hivyo Kipaumbele chake sasa ni Kuturudishia Tabasamu lililopotea katika Sura za Watanzania tokea tarehe 25 Oktoba, 2015 hadi 17 Machi, 2021.
Mtamkumbuka kwa mazuri yakeAkumbukwe kwa lipi? Kamaalifanya mazuri kwa kodi zetu basi tale mabaya yalifunika mazuri yote. Sitaki kuyataja maana yameshaongelewa sana. Kila zama na kitabu chake.
Amekwambia anataka kupendwa na kila mtu? Mama ni mwanasiasa mahiri na ana akili timamu usidhani kama anafikiri kupendwa na kila mtu kwasababu sio kitu ambacho kinawezekana, Ameamua kuongoza kwa misingi ya utu, upendo na haki.Itakuwa umepatia, Ila ajue kwamba, atafanya yote Ila astarijie kupendwa na kila mtu
Halafu kuna watu walitaka kuliongezea lile jamaa mitano tena¡!!!!! Sijui wanaishi Tanzania gani?[emoji3166]
Mama kukili kwamba vyuma vimekaza mtaani,pesa mifukoni hakuna,mashirika Mengi yanapata hasara,na ubabe mwingi wa kukusanya mapato,hii ni picha kubwa,jiwe alikuwa hamshirikishi1. Baba Mbabe alikuwa hamshirikishi na huenda hata alitamani Kuachana nae