Hahaha tulia sindano iingie MATAGA. Mungu wenu ameshasahaulika kwa speed ya radi. Na report ya leo ya CAG imemzika kabisa na pingu inabidi awekewe. Alitudanganya eti anapigana na ufisadi kumbe alikuwa anapigana na maadui zake waliozozana enzi akiwa Waziri, waliokuwa wanafadhili upinzani, ambao hawakumpigia kura 2015 n.k. Hivyo akawabatiza mafisadi na kuwabambikiza kesi nzito za uhujumu uchumi ili mali zao na pesa zitaifishwe. Pole sana Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Kweli ameshapiga msumari wa uhakika. Mtaomba poo.