"Nimesikiliza hotuba yake.Tone ni too soft na hii itawafanya watendaji wa-relax sana.Nahisi pia kwamba watendaji wataachiwa wafanye maamuzi mengi wao bila close monitoring.Hii ni hatari,kwa mustakabali mzima wa taifa,unless wao wenyewe wako committed to their people and development of the country.Maneno "kayaangalieni haya' yanakosa msisitizo na authority na yana akisi wasi wasi wangu.Tusubiri,ila I can sense dange,ila najua kwa comment yako hii,na kwa jinsi nilivyo kusoma,kwako msimamo wake utakuwa blessing."
.....