Kwa 'body language' tu ya Mama azungumzapo huhitaji Akili Kubwa kujua ya kwamba...

Mama nimependa sana faraja aliyoileta kwetu kwa kweli wakale walisema hakuna kama Mama walikua sahihi sana daah yani Mama amenifurahisha sana kama leo nimeshinda na furaha tuu kwa kweli na bongo narudi hata kesho nipo tayari kwa moyo wangu mkunjufu kabisaa na Kodi nitalipa bila ili kutomkwamisha mama ili wale waliobakia wanyweee...
 
Hakuna kitu kitabadilisha maisha yako kuwa Bora zaid Kama hutojishughulisha na kufanya jambo kwa juhudi na ubunifu wa kimaarifa vinginevyo utazidi kunyooshea watu vidole na kuamini kuwa unalogwa au unaonewa kumbe the PROBLEM IS YOU
Mzee acha kuhubiri wakati umeajiriwa na maza[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Baba Mbabe alikuwa hamshirikishi na huenda hata alitamani Kuachana nae.

2. Ushauri wake ulikuwa ukipuuzwa na kudharauliwa na Baba.

3. Hali ngumu ya Maisha imemkwaza Mama japo Baba aliona anatukomesha.

4. Aliwaamini sana Waliodharauliwa na Baba ambao walikuwa Weledi kuliko aliyowateua Yeye Baba.

5. Kuna Siri nyingi za Upigaji wa Miradi ya Baba ila alishindwa Kumwambia kwakuwa alishagundua anadharaulika nae.

6. Baba Kukitenga sana Kisiwa anakotoka Mama kulimkwaza akiamini hata Kisiwa pia kina Haki ya Keki Tamu na Nono ya Ardhi ya Tanzania.

7. Mama ameiva vyema Kidiplomasia na Kiustaraabu japo ana Ukali wa Kiumakini tofauti na Baba aliyekuwa na Ukali, Kukomoa, Chuki na Ujeuri wa Kibabe.

Ni mapema mno Kumpongeza Mama ila tusikatae kuwa dalili ya Mvua ni Mawingu na ' Body Language ' ya Mama inaonyesha kuwa Kilio cha Ugumu wa Maisha ya Watanzania ( Vyuma Kukaza ) hata na Yeye (Mama) inamuuma.

Hivyo Kipaumbele chake sasa ni Kuturudishia Tabasamu lililopotea katika Sura za Watanzania tokea tarehe 25 Oktoba, 2015 hadi 17 Machi, 2021.
Dingi alikuwa mkoloni mweusi yule.
 
Mwendazake hakuwa na mapenzi nacc kabisa yani utadhani libaba la kambo linalotesa watoto yani sasa tunajiona tuko kwa mama mzazi alietuweka tumboni 9 months lile libaba lilipenda watoto wake tuishi kama mashetani daaah aiseee Mungu tumeuona ukuu wako na aoze hata mfupa wake usionekane.
 
Hata late Joseph alianza kwa mtindo huu huu ila katikati ya anga akabadili gear, binafsi siwezi kuweka kete yangu mapema kiasi hiki.

👉🏾 Ngoja maisha yasogee kwanza.
 
1. Baba Mbabe alikuwa hamshirikishi na huenda hata alitamani Kuachana nae.

2. Ushauri wake ulikuwa ukipuuzwa na kudharauliwa na Baba.

3. Hali ngumu ya Maisha imemkwaza Mama japo Baba aliona anatukomesha.

4. Aliwaamini sana Waliodharauliwa na Baba ambao walikuwa Weledi kuliko aliyowateua Yeye Baba.

5. Kuna Siri nyingi za Upigaji wa Miradi ya Baba ila alishindwa Kumwambia kwakuwa alishagundua anadharaulika nae.

6. Baba Kukitenga sana Kisiwa anakotoka Mama kulimkwaza akiamini hata Kisiwa pia kina Haki ya Keki Tamu na Nono ya Ardhi ya Tanzania.

7. Mama ameiva vyema Kidiplomasia na Kiustaraabu japo ana Ukali wa Kiumakini tofauti na Baba aliyekuwa na Ukali, Kukomoa, Chuki na Ujeuri wa Kibabe.

Ni mapema mno Kumpongeza Mama ila tusikatae kuwa dalili ya Mvua ni Mawingu na ' Body Language ' ya Mama inaonyesha kuwa Kilio cha Ugumu wa Maisha ya Watanzania ( Vyuma Kukaza ) hata na Yeye (Mama) inamuuma.

Hivyo Kipaumbele chake sasa ni Kuturudishia Tabasamu lililopotea katika Sura za Watanzania tokea tarehe 25 Oktoba, 2015 hadi 17 Machi, 2021.
Mungu atusaidie watz🙏🙏🙏!
 
Nimesikiliza hotuba yake.Tone ni too soft na hii itawafanya watendaji wa-relax sana.Nahisi pia kwamba watendaji wataachiwa wafanye maamuzi mengi wao bila close monitoring.Hii ni hatari,kwa mustakabali mzima wa taifa,unless wao wenyewe wako committed to their people and development of the country.Maneno "kayaangalieni haya' yanakosa msisitizo na authority na yana akisi wasi wasi wangu.Tusubiri,ila I can sense dange,ila najua kwa comment yako hii,na kwa jinsi nilivyo kusoma,kwako msimamo wake utakuwa blessing.

Swala la kuunda kamati ya wataalamu ya ushauri wa C-19 ni nyeti sana.Kamati hii inahitaji wataalamu wenye weledi mkubwa kuhusu maswala yote ya COVID na the so called Covid vaccine,what it is and the true agenda behind it.Jinsi wanavyoweza kupata contents zilizopo ndani ya the C-19 gene therapy au kinachoitwa kwa makosa vaccine,kitu ambacho ni muhimu, watajua wao,ila ni muhimu kujua kama kweli hivyo therapy inafaa kwa matumizi ya wanadamu.Already we know kwamba haifai kufuatana na vifo na madhara mengi ambayo yame ripotiwa kwa watu ambayo wamepata hiyo DNA modifying therapy.

Niseme wazi,akina Bill Gates,Rockefeller, Rothschild, Anthony Fauci,WHO na the World Economic Forum macho yao yote sasa yataelekezwa kwenye members wa kamati hiyo,and how to influence the final decision of the committee.Ni muhimu kwa hiyo kila mmoja wao akafuatiliwa kwa ukaribu ili asije akatumiwa kuingiza nchi mkenge.Fedha nyingi sana itatembea hapo,ili ku-influence maamuzi!Niseme in advance,hapa napo I can sense danger.In short I am not optimistic!

Watu hawa wanahitaji pia wawe na ufahamu wa the inner workings of underground societies na agendas of the NWO.Bila kujua yote haya tutaingizwa mkenge sana.Wataalamu hawa pia wanatakiwa kuwa true nationalists and lovers of mother Tanzania.This is basic.

In summary,nini "nahisi" kiko mbele yetu👉A Possible reserval of whatever Magufuli stood had for,which will be a disaster for mother Tanzania and Tanzanians.
Dunia nzima inaifuatilia Tanzania juu ya msimamo wake kuhusu covid 19. Walikuwa hawana namna ya kupenyeza agenda zao za hila nchini kuhusu covid 19. Kwa hotuba hii nahisi watakuwa wamepata matumaini mapya kwa kiasi Fulani!!
Rai yangu, kamati isije ikaja na mkakati wa kwenda nchi za nje hasa ulaya au marekani Kama study tour ya covid 19. Juzi Uingereza wameamua yale Yale aliyokuwa anayasema Magufuli tokea mwanzo kabisa wa covid 19.
 
Kutakuwa na tofauti kubwa ya kiutendaji na Hayati kwa kuwa mama huenda akatumia ushawishi zaidi kuliko usimamizi kwa kuwa hakuna jipya. Kwa jinsi Watanzania walivyo watatumia mwanya huo kufanya "business as usual". Kiasi gani atakuwa mkali kuliko mtangulizi wake, muda utatoa jibu
Samia usimchukulie poa aisee kwa sisi tunao mfahamu tangu akiwa zanzibar kwen NGOs kabla hata huku bara hamja fahamu niwaambie polen msimchukulie poa aisee ni mkorofi pale inapo bid ikorofi utumike.
 
Dunia nzima inaifuatilia Tanzania juu ya msimamo wake kuhusu covid 19. Walikuwa hawana namna ya kupenyeza agenda zao za hila nchini kuhusu covid 19. Kwa hotuba hii nahisi watakuwa wamepata matumaini mapya kwa kiasi Fulani!!
Rai yangu, kamati isije ikaja na mkakati wa kwenda nchi za nje hasa ulaya au marekani Kama study tour ya covid 19. Juzi Uingereza wameamua yale Yale aliyokuwa anayasema Magufuli tokea mwanzo kabisa wa covid 19.
Jibu la mama samia katika hili la korona lipo bayana kabisa na halina utata ntashangaa sana kama kuna watu bado watajifanya vichwa maji
 
1. Baba Mbabe alikuwa hamshirikishi na huenda hata alitamani Kuachana nae.

2. Ushauri wake ulikuwa ukipuuzwa na kudharauliwa na Baba.

3. Hali ngumu ya Maisha imemkwaza Mama japo Baba aliona anatukomesha.

4. Aliwaamini sana Waliodharauliwa na Baba ambao walikuwa Weledi kuliko aliyowateua Yeye Baba.

5. Kuna Siri nyingi za Upigaji wa Miradi ya Baba ila alishindwa Kumwambia kwakuwa alishagundua anadharaulika nae.

6. Baba Kukitenga sana Kisiwa anakotoka Mama kulimkwaza akiamini hata Kisiwa pia kina Haki ya Keki Tamu na Nono ya Ardhi ya Tanzania.

7. Mama ameiva vyema Kidiplomasia na Kiustaraabu japo ana Ukali wa Kiumakini tofauti na Baba aliyekuwa na Ukali, Kukomoa, Chuki na Ujeuri wa Kibabe.

Ni mapema mno Kumpongeza Mama ila tusikatae kuwa dalili ya Mvua ni Mawingu na ' Body Language ' ya Mama inaonyesha kuwa Kilio cha Ugumu wa Maisha ya Watanzania ( Vyuma Kukaza ) hata na Yeye (Mama) inamuuma.

Hivyo Kipaumbele chake sasa ni Kuturudishia Tabasamu lililopotea katika Sura za Watanzania tokea tarehe 25 Oktoba, 2015 hadi 17 Machi, 2021.
2025 Mwenyezi Mungu tunayemuabudu usiku na mchana atusaidie tuione alafu nitakuja kuitazama post yako huku nikicheka..
 
Hakuna kitu kitabadilisha maisha yako kuwa Bora zaid Kama hutojishughulisha na kufanya jambo kwa juhudi na ubunifu wa kimaarifa vinginevyo utazidi kunyooshea watu vidole na kuamini kuwa unalogwa au unaonewa kumbe the PROBLEM IS YOU
Ila cha kukurudisha nyuma kipo kama hicho cha kutaifisha pesa za watu ovyo?!!kwenye uchumi kauli moja tu ya kiongozi, inaweza pelekea watu kufirisika au kuwa matajiri.hakuna anayemtegemea kiongozi kumletea pesa nyumbani, ila ni kutengeneza mazingira wezeshi ya mtu kupata pesa.unakuwa na kiongozi ambaye mawazo yake ni kuona wananchi wake wanazidi kuwa masikini?!kwa kuzidi kuwatia ujinga eti wanyonge?
 
Hapa nakubaliana na wewe Asilimia 💯 maana nawaambia watu bila kufanya kazi hela hamtaipata wala kuonekana, mara ooh hayupo aliekuwa anabania hela, nawaambia nyie mnacheza yani mchezo bado ni ule ule
Mkuu unafanya kazi gani, Je umeshapata hela?
 
Hakuna kitu kitabadilisha maisha yako kuwa Bora zaid Kama hutojishughulisha na kufanya jambo kwa juhudi na ubunifu wa kimaarifa vinginevyo utazidi kunyooshea watu vidole na kuamini kuwa unalogwa au unaonewa kumbe the PROBLEM IS YOU
Mtazamo wako ni sawa, ila ipa zipo factors zinazo affect maisha ya watu wengi... zinazochangiwa zaidi na uongozi wa serikali pamoja na maamuzi yao katika nchi.
 
Back
Top Bottom