mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Vita ya wezi si ya mtu mmoja abadan, ni yetu sote.Msishindane na marehemu fanyeni yenu ya onekane. Marehemu alifanya na yalionekana Mijizi na Mafisadi ndio hawakuona hilo. Sasa mnapomnanga marehemu tunajiuliza ndio tuseme mijizi na mafisadi wamechukua hatamu tena? Je mlioko serikalini na utumishi wa umati wa Watanzania ambao hamkubalini na majizi na mafisadi mtakaa muangalie kinyonge kinyonge na msifanye lolote?
Wezi tuliwalea wenyewe na kuwachekea tena tukiwasifu mitaani kwa maneno kama "umeulla" mtu akipata nafasi asitajirike tulimbeza aliyekwiba tulimuita boss na kumpelekea bakuli la sadaka. Tukatae sisi tusimsubiri rais.
Wezi hawaishi kwa nguvu ya mtu mmoja maana panya ni wajanja...