Kwa Chakula kama hiki wanaume wa Dar mtakuwa na nguvu za kiume? Mkongo nao umepigwa stop

Ugali umeingiza mjini sana siku hizi..

Ugali wenye nguvu haunaga mbwmbwe kiasi hicho
 
Umejiona mjanja kusema wanaume wa Dar..🚮🚮
 
nguvu za kiume utazipata vipi?.
hospitali dawa
maji ya kunywa dawa
vyakula vyote dawa
uchawi nao dawa
maisha dawa

utazipata kweli zote dawa ni simu nilizotaja
 
Matatizo ya Afya ya akili yapo

Kwenye maisha mwanaume husifiwa kwa pesa alizo nazo na si wanawake aliolala nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…