changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Huwa sibahatishi nimeongea ukweli. Wanamsimbazi ndio wanaoongoza kwa kumlaumu Manula kuliko hata wanajangwani. Manula sio malaika kiasi kwamba atakuwa perfect kwa asilimia mia moja. Yeye ni binadamu na anajitahidi sana kuibeba timu yake kwa kadri awezavyo. Hizi ni baadhi ya nyuzi za mashabiki wa SimbaNani Kaubaka bila Condom huo Ubongo wako mbovu?
Manula ni golikipa au ni pazia?
Kiwango cha golikipa huyu kiukweli ni cha kutia shaka mno , mimi nilimstukia kitambo kirefu sana na hata baada ya Kocha wa Taifa Stars Ndaiyagile kumbwaga na kumchukua Kikongwe Kaseja sikushangaa Goli la pili alilofungwa na yanga lilitosha kabisa kwa timu ya Simba kuanza kusaka kipa mwingine .
Aishi Manula kwanini lakini?
Kuelekea michuano mikubwa ya klabu bingwa barani Afrika timu Yangu ya Simba iliangalie Hili tatizo la Manula kutoka golini kuwahi Mpira bila hesabu za uhakika. Hili nimeliona sana Stars ilipocheza na Namibia. Kosa hili amefanya zaidi ya mara tatu ni vile tumecheza na timu dhaifu vinginevyo...
Aishi Manula na makosa yanayojirudia!
Habari za weekend wakuu, Ni siku nyingine tena natumai ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu ya kila siku vizuri pamoja na walio mapumnziko. Wakuu Kuna hili tatizo linalojirudia la huyo kipa anayeitwa (Tanzania one) na hakuna matumaini ya kuisha au kupungua kwani tatizo hili ni la mda...