Kwa Chuki zetu, Wivu wetu na Roho mbaya zetu Waswahili tutamsema sana, ila kwa sasa Tanzania hakuna Kipa bora na Mahiri kama Aishi Salum Manula

Nani Kaubaka bila Condom huo Ubongo wako mbovu?
Huwa sibahatishi nimeongea ukweli. Wanamsimbazi ndio wanaoongoza kwa kumlaumu Manula kuliko hata wanajangwani. Manula sio malaika kiasi kwamba atakuwa perfect kwa asilimia mia moja. Yeye ni binadamu na anajitahidi sana kuibeba timu yake kwa kadri awezavyo. Hizi ni baadhi ya nyuzi za mashabiki wa Simba



 
Tatzo wachezaji wa kibongo bila kuwapiga madongo wanaharbu mkuu. Ebu tizama tulivowazodoa wakajirekebisha hyo jana. Hawa wakizngua tunawazngua wakifanya poa tunawapgia makofi. Hongera kwa kututuliza nyongo zetu
 
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…