sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 21,152 Reaction score 48,355 Oct 7, 2026 #441 ephen_ said: Huduma ya kuosha na kusuka nywele Click to expand... Ohh hii Safi, haihusiani na mambo ya mashimo?
ephen_ said: Huduma ya kuosha na kusuka nywele Click to expand... Ohh hii Safi, haihusiani na mambo ya mashimo?
grand millenial JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 4,015 Reaction score 5,664 Oct 7, 2026 #442 cocastic said: πππ Click to expand... π nasubiri
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 21,002 Reaction score 77,708 Oct 7, 2026 #443 sumbai said: Ohh hii Safi, haihusiani na mambo ya mashimo? Click to expand... Ndio
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 21,492 Reaction score 65,712 Oct 7, 2026 #444 Luna79 said: Jamaa unaonekana una mambo mengi sana na unadai umeoa. Huu uzi wa pili wa aina hii naona unapata mtikisiko. Tulia na mkeo la sivyo litakukuta jambo tu siku moja. Click to expand... Tunapoona vijana wanatenda mambo ya hovyo, kama Wazee lazima tutoke kukemea Mimi na Wazee wenzangu humu, ndiyo kazi tunafanya Hayo mengine huenda ni wasiwasi wako tu, nimetulia na bibienu tangu mwaka 47 Kama hautajali, naomba nikuagize uniletee kiko, babu yenu nina arosto ya kufa mtu hapa π€
Luna79 said: Jamaa unaonekana una mambo mengi sana na unadai umeoa. Huu uzi wa pili wa aina hii naona unapata mtikisiko. Tulia na mkeo la sivyo litakukuta jambo tu siku moja. Click to expand... Tunapoona vijana wanatenda mambo ya hovyo, kama Wazee lazima tutoke kukemea Mimi na Wazee wenzangu humu, ndiyo kazi tunafanya Hayo mengine huenda ni wasiwasi wako tu, nimetulia na bibienu tangu mwaka 47 Kama hautajali, naomba nikuagize uniletee kiko, babu yenu nina arosto ya kufa mtu hapa π€