Kwa CV hii ya Dkt. Mashinji simuoni wa kumfikia pale Lumumba, jamaa kapiga shule namtabiria uteuzi wa mapema

Kwa CV hii ya Dkt. Mashinji simuoni wa kumfikia pale Lumumba, jamaa kapiga shule namtabiria uteuzi wa mapema

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.

Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.

Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.

Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.

Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
kweli uelewa wako ni mdogo sana, mtu ako na phd kisa anahamia chama kinaongzwa na makatili, watekaji, wauaji na waimba hela za walipa kodi. Huyu mimi naona hata hii phd yake ni kaa ya jiwe tu, haina maana yeyote, tena kaipata tz, huyu akienda vyuo vya ulaya hata shule ya msingi hawezi akaweza kufundisha, lakini ni musukuma, vizi karibuni atakuwa mkuu wa mkoa geita au mwanza, nawasilisa hoja
 
kweli uelewa wako ni mdogo sana, mtu ako na phd kisa anahamia chama kinaongzwa na makatili, watekaji, wauaji na waimba hela za walipa kodi. huyu mimi naona hata hii phd yake ni kaa ya jiwe tu, haina maana yeyote, tena kaipata tz, huyu akienda vyuo vya ulaya hata shule ya msingi hawezi akaweza kufundisha, lakini ni musukuma, vizi karibuni atakuwa mkuu wa mkoa geita au mwanza, nawasilisa hoja
Usimchukie bila sababu bwashee!
 
Yani wasomi wa TZ ndio huwa machizi kuliko hata tulioishia la nne D. Mtu ana PhD hata kikristu hajui, mtu ana Phd lakini anaakili za kiteja, mtu ana PhD lakini anaogopa hata battle na mwenye certificate ya upishi, mtu ana PhD lakini anakubali kuwa kibaraka wa kununuliwa kama bidhaa sokoni (njaa).

Nchi ya ajabu ajabu sana hii.
 
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.

Nimeipitia CV ya Dr Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.

Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.

Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.

Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Ama kweli ukiwa ccm uwezo wako wa kujitegemea unatoweka! Hawa wasomi wasioweza kutumia taaluma zao kujiajiri hawana maana hata kidogo! Yaani PhD holder unakimbilia siasa! Kwangu Mimi ni kuudhalilisha usomi kwani haumsaidii kujiajiri! Wanashindwa na wale vijana wa ilula wanaomiliki Mali za maana kwa kulima nyanya japo ni STD vii! Au bongo zao zimeundwa na siagi ambayo huyeyuka hivyo? PhD na siasa ni uchuro!
 
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.

Nimeipitia CV ya Dr Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.

Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.

Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.

Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Unajidanganya sana. Kwa hiyo huko uteuzi unafata elimu eti?? Hahahahahaa.......
 
Kiroba cha mchanga hicho tusaidiane kwa zamu.
 
Back
Top Bottom