Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Utii bila kuhojiWewe unadhani uteuzi unafuata nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utii bila kuhojiWewe unadhani uteuzi unafuata nini?
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.
Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.
Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.
Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.
Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!