mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ile report ya TWAWEZA si ilisema kuwa CCM ndiyo inayopendwa na watu wenye elimu ndogo na wazee?Ukiwa msomi alafu ukaendelea kukaa na wale vilaza wa Chadema unaonekana na ww ni chizi kama wao
Kwa mtu msomi mzuri mwenye CV zake
Ukikaa pale Chadema unapotea kabisa
Simuoni kabisa yule prof baregu,,
Namuona mwanangu tu prof J
PALE KAFIKA NDIO CHAMA CHAO
Mihemko bila Hoja piga kelele upate wafuasi
Kizamaaaaani.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wa Misungwi kule kwa Kitwanga!Naskia hata Mnyika Ni Msukuma
Siasa ni sayansi bwashee!Kwa hiyo sababu kubwa iliyompeleka huko ni dili ya kufutiwa mashitaka katika kesi inayomkabili pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Chadema, na kama ni hivyo huu ni ushahidi kuwa Mahakama inafanya kazi zake kwa maagizo toka Lumumba. Waswahili wanasema kuchamba kwingi kuondoka na mavi. Johnthepaptist unafikiri unaitetea CCM kumbe unaipaka mavi. Asante kuijuza dunia kuwa Mahakama zetu haziko huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa......hahahaaaa....... Duh!
kweli uelewa wako ni mdogo sana, mtu ako na phd kisa anahamia chama kinaongzwa na makatili, watekaji, wauaji na waimba hela za walipa kodi. Huyu mimi naona hata hii phd yake ni kaa ya jiwe tu, haina maana yeyote, tena kaipata tz, huyu akienda vyuo vya ulaya hata shule ya msingi hawezi akaweza kufundisha, lakini ni musukuma, vizi karibuni atakuwa mkuu wa mkoa geita au mwanza, nawasilisa hoja
Hiyo kesi ya mauaji iko mahakama gani bwashee?!Kaungana na watu waliomfungulia kesi ya mauaji ya Aquelina.
Anayekuambia elimu ni ukombozi anakudanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Lumumba wako wasomi chungu nzima. Nadhani qualification kubwa ni kwa kuwa ni homeboy!kweli kabisa, nakuunga mkono kwa hilo
Hivi mashini ni dokta wa filosofia au MD?Kwa akili za bwana yule, Mashinji (PhD) anaweza kutupiwa uDC akajikuta akirub shoulders na mamiss kama Jokate. Hii ndio Bongo ya viwanda.
Zote mbili bwashee!
" unadhani " lakini huna uhakika!Hata Lumumba wako wasomi chungu nzima. Nadhani qualification kubwa ni kwa kuwa ni homeboy!
Bora iwe hivyo
Hahahaaaa........ Endelea kukariri manka!Mashinji ni MD,Phd kaipata lini?Au ya washington online university?
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.
Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.
Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.
Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.
Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuelewa bwashee!Tatizo kubwa ni kwamba ukishaingia kwenye siasa, CV yako unaiweka pembeni, unapigishwa kwata na ilani za vyama.
Ndiyo maana utakuta mtu ana CV nzuri sana kwenye fani fulani, na angeweza kuzalisha watu wazuri kwenye fani hiyo, lakini akishaingia kwenye siasa, anafanya vituko vya ajabu.
Kuwa na nafasi kwenye chama au nafasi za kuteuliwa na mkuu haiitaji kuwa na cv nzuri, ndiyo maana kuna watu wana Phd, Dr, nk lakini hawakuteuliwa hata kuwa wakurugenzi, wakuu wa wilaya au wakuu wa mikoa, lakini bahite anawapigisha kwata.
Ninachoshangaa mimi ni kuwa mtu mwenye cv ya namna hii anawezaje kwenda ccm? Hajui kuwa kule ni lazima utoe akili yako kwanza? Masikini mwone Bashiru alivyo sasa, mwanzo alikuwa mwanazuoni wa kuaminika lakini sasa akili yote imeondoka!! Mashinji naye ngojeni atakapoanza kutumiwa, hutaamini kuwa ni msomi wa kiwango hiki.Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.
Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.
Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.
Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.
Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Haswaa hapa hii ndiyo jiwe anawataka! kanda ya ziwa!!
Kwa vile ni mpwa wa aliyeketi cha enzi ataupata fasterKuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.
Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.
Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.
Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.
Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuelewa bwashee!