Kwa CV hii ya Dkt. Mashinji simuoni wa kumfikia pale Lumumba, jamaa kapiga shule namtabiria uteuzi wa mapema

Kwa CV hii ya Dkt. Mashinji simuoni wa kumfikia pale Lumumba, jamaa kapiga shule namtabiria uteuzi wa mapema

Basi awe mwenyekiti CCM maana CV yake iko juu ya ile ya JPM ambayo pia ina ukakasi/mashaka/magumashi!
 
Siasa ni sayansi bwashee, hata JJ Mnyika atawashangaza wengi hapo mwezi June baada ya bunge kuvunjwa!
Tafsiri ya hilo neno "sayansi" inaweza ikawa ni pana kuliko ulivyolitumia hapa.

Nilicho nacho uhakika ni kwamba maana ninayoijua mimi ya neno "sayansi" ni tofauti kabisa na hiyo yako.
 
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.

Nimeipitia CV ya Dr Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.

Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.

Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.

Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Uliiona CV ya Prof. Assad, licha ya uadilifu wake, nani aliyejali hata ukweli wake zaidi ya kujitafutia maadui ndani ya CCM. Hiki ni chama ambacho hakiitaji mawazo na fikra mpya, ubunifu, ugujnduzi wa mambo mapya, isipokuwa kumsifia tu Mwenyekiti Taifa, hata kama amepwelea ktk nafasi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exposure za Kufa mtu zimejaa hapa, ujanjaujanja wote nnao, hata uje na PhD yko hapa hufui dafu.......... Najua mambo billion kdg
Wenzako kichwa hiki wanakikubali

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Chadema panawafaa wajanja wajanja kama nyie ila Waseminari kama akina Dr Slaa, Dr Mashinji na baba paroko Selasini hawapawezi bwashee!
 
Mafanikio huanzia kwenye hayo makaratasi bwashee!
Hapana, mtu anaweza kuwa na makaratasi mazuri sana, lakini akawa hawezi kutekeleza mambo in the real world.

Sasa huyo Mashinji kwa level ya ukatibu mkuu wa chama cha siasa cha kitaifa kafanya kitu gani kipya?
 
Dr. Mashiji ni jembe linalotosha kuwa katibu mkuu wa CCM baada ya Dr.Bashiru.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bashiru ni daktari wa Siasa atabaki pale alipo akiendelea kuwafunza Siasa wapinzani.

Ndani ya CCM na serikali yake kuna fursa nyingi hivyo Dr Mashinji atapewa nafasi maalumu kutokana na uzoefu wake wa Siasa za upinzani.
 
Back
Top Bottom