Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

Status
Not open for further replies.
unajua walipokuwa wanambeza mbeya tuliwahi kuongea na mheshimiwa mbilinyi aje kugombea mtwara mjini kwani tangu jimbo lianze halijawahi kuwa na mbunge au meya/mwenyekiti ambaye anaelimu zaidi ya darasa 12. Cha ajabu mheshimiwa aliniambia kasoma marekani masters ya political science... Hapa sasa nashangaa inaonesha hata cheti cha maana hana... Huenda taarifa za bunge hazijahuishwa!!?

By the way wapo watu wanajaribu kufananisha elimu na ujinga. Sina hakika kiwango chao cha elimu hawa watu kwani hivi vitu havipimwi hata maandiko matakatifu yanapinga ujinga...

Wabunge, madiwani wasio na elimu ni janga la taifa and tunaaibika kwa wenzetu wote... Hawa jamaa ni mfano mbaya kwa jamii kwani sasa watoto watasema naweza kuwa mheshimiwa bila hata kuwa na elimu... Mburula ....

Kaka, ushauri murua, mwenye macho ataona!!
 
Sugu tena wakati anasoma pale sabasaba alikuwa mweupe sana hata mkuu wa shule by then Mzee Masasa alikuwa anamjua Sugu Kama kiazi na shule mzima alikuwa anajulikana Kama kiazi na tutusa. Yaani Sugu ukimuuliza what is physics, alikuwa anatia huruma sana huyu dogo.
Wangapi walifurahia nilipofeli darasani, lakini pilika zangu mtaani zimenifikisha mbali.Ah nakumbuka tu mistali ya SUGUUUUUUUUU.Pilika zimemfikisha Mjengoniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Wananiita SUGU nani?Hata mtoto wa demu wako ananiita UNCLE SUGUUUUUUUU.Hakuna wakujivunia dunia wote nyama ya UDONGO.
 
Sugu tena wakati anasoma pale sabasaba alikuwa mweupe sana hata mkuu wa shule by then Mzee Masasa alikuwa anamjua Sugu Kama kiazi na shule mzima alikuwa anajulikana Kama kiazi na tutusa. Yaani Sugu ukimuuliza what is physics, alikuwa anatia huruma sana huyu dogo.

Ujua Kikwete degree yake ya Social Economy alipata GPA ya ngapi...better keep ur bowl closed
 
Labda mtu eligible kwa Wizara hiyo ni Nape a.k.a. Nahum.
 
hujui kuwa mbowe alikopa mkopo benki na akakataa kulipa kwa vile alitumia vielelezo vya uongo wakashindwa kumbana.

kwa hiyo hizo ni pesa za wizi na anasifa za kufirisiwa .

hawa watu si wasafi kama unavyodhani hizi mali zao siyo halali.
Unaweza ukaniambia ni lini Mbowe alianza rasmi biashara zake? Na kabla hajawa mbunge au ni baada?? Protea Hotels alizijenga lini? Billicannas Club aliijenga lini? Kama ni wakati wa ubunge wake then u r damn right but if it is otherwise u need to give a plausible fact over here! Kufilisiwa?? Hebu mfilisini haraka then? Mnangoja nini sasa??
 
WanaJF!

Hapa nchini Tanzania kuna sekta fulani fulani ambazo ni nyeti na zinapaswa kupewa uangalizi wa kina ili ziweze kuleta tija kwa taifa. Mfano tu wa sekta hizo ni sekta ya maliasili na utalii, sekta hii kama ikiweza kusimamiwa vizuri, sio tu itaipatia serikali mapato yake, bali itaweza vile vile kuitangaza nchi yetu kote duniani ili ulimwengu uweze kuitambua Tanzania.

Sasa katika suala zima la kuisimamia hii sekta, na kwa kasi ambayo CHADEMA wanayo katika kutwaa dola, ni vyema kama wananchi tukijadili uwezo wa watu wanaopewa dhamana katika usimamizi wa sekta zetu, kwani wote tunafahamu umuhimu wa raslimali watu katika kusukuma gurudumu la maendeleo kokote pale duniani.

Leo namleta kwenu Mhe Msigwa ambae ni mbunge wa jimbo la Iringa mjini na pia ni waziri kivuli wa maliasili na utalii, lakini pia mchungaji Msigwa ndiye anae tarajiwa kupewa dhamana ya kuongoza wizara hii nyeti ya maliasili na utalii endapo CHADEMA itatwaa dola, sasa kwa CV yake ndugu Msigwa na majukumu anayo tarajiwa kukabidhiwa, sidhani kama kweli atamudu katika utendaji.

kwani huu umaarufu alioupata wa kuropoka kuwa Kinana ni jangili sio kigezo toshelezi kusema Mchungaji Msigwa ni mtu sahihi kwenye sekta ya maliasili na utalii, CHADEMA tupeni mtu mwingine Msigwa ni mwepesi mno!!

CV ya mchungaji Msigwa ni hii hapa;

School Name/Location Course/Degree/Award
All Africa Bible College, South Africa
Sangu Secondary School
Magoye Primary School

[TH="align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]B.Ministry[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Iringa Urban Constituency
Vineyard ChurchNational Coordinator

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

Kwani ina tatizo gani? si ana degree
 
Masaningala; Pole sana mkuu, kuwaelimisha vijana kama hao ni ngumu kwani wanalipwa ili wabishane.Hawajui kama kuna uwezekano mkubwa wa mawaziri kufanyiwa vetting ili wakubalike na bunge.Wanachojua wao ni chama kushika hatamu kama ilivyo sasa ambapo Rais na Mwenyekiti wa CCM anateua tu mawaziri na hakuna wa kumhoji.
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukaniambia ni lini Mbowe alianza rasmi biashara zake? Na kabla hajawa mbunge au ni baada?? Protea Hotels alizijenga lini? Billicannas Club aliijenga lini? Kama ni wakati wa ubunge wake then u r damn right but if it is otherwise u need to give a plausible fact over here! Kufilisiwa?? Hebu mfilisini haraka then? Mnangoja nini sasa??

Hizo biashara za club na hotels MBOWE ajazibuni yeye,kwani hana kichwa cha kuwa mbunifu, hizo biashara ni za urithi kutoka kwa baba yake ambae alikuwa ni mwana CCM na hizo mali amezipata kupitia CCM akiwa waziri wa fedha, sasa kama mnasema CCM ni mafisadi, tuanze na baba yake Mbowe na Mbowe mwenyewe ni fisadi kwa kuwa bado anaendelea kumiliki mali za kifisadi.
 
Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?

Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?

Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.

Labda ungeshauri kuwa mojawapo ya qualification za ubunge ni angalau shahada moja. Manake ukiwarushia hili dongo wa CHADEMA na ukawaacha wabunge wengine unakuwa hujatusaidia kitu. Manake kuna wengine walikuwa waganga wa kienyeji, sasa sijui ni shahada ipi wanasomea kupata vyeo vyao.

Na bado tukienda mbele turudi nyuma, kuna wengine wameenda shule kweli kweli, lakini walichotufanyia mpaka leo tunatamani tudai chenji kwenye vyuo walivyosoma, manake...mmh!
 
Kwani ina tatizo gani? si ana degree

Mkuu una jielewa kweli? wewenae unajiita great thinker? kweli JF imeingiliwa vibaya na pro-CHADEMA, unashindwa hata kujua degree ipoje kwa kuangalia tu CV? hiyo hata hadhi ya kuitwa certificate haina!!
 
Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?

Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?

Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.

nilishawahi kutoa wazo kama hilo (hapo kwa red) lakini sipatagi support! kumbe wengi watatupwa kule eehe!
 
Hizo biashara za club na hotels MBOWE ajazibuni yeye,kwani hana kichwa cha kuwa mbunifu, hizo biashara ni za urithi kutoka kwa baba yake ambae alikuwa ni mwana CCM na hizo mali amezipata kupitia CCM akiwa waziri wa fedha, sasa kama mnasema CCM ni mafisadi, tuanze na baba yake Mbowe na Mbowe mwenyewe ni fisadi kwa kuwa bado anaendelea kumiliki mali za kifisadi.
So ni nani msimamizi wa hizo biashara hadi sasa?Ni Mbowe au ni baba yake?? Or to be specific ni nani mmiliki wa hizo ventures??
 
Hizo biashara za club na hotels MBOWE ajazibuni yeye,kwani hana kichwa cha kuwa mbunifu, hizo biashara ni za urithi kutoka kwa baba yake ambae alikuwa ni mwana CCM na hizo mali amezipata kupitia CCM akiwa waziri wa fedha, sasa kama mnasema CCM ni mafisadi, tuanze na baba yake Mbowe na Mbowe mwenyewe ni fisadi kwa kuwa bado anaendelea kumiliki mali za kifisadi.
Kumbe ndio utaratibu wenu (CCM) wa kuiba fedha za Umma mnapopewa ofisi?

Mbowe Jr, hajaiba chochote, kama una ushahidi wa baba yake kuiba akiwa CCM basi kamfukueni kaburini mumpeleke mahakamani.
Tutakuwa tumeongeza idadi ya wezi ambao ni makada wa CCM.
 
Kama Mbowe ana elimu hii kama unavyodai na kaifikisha Chadema hapa ilipo na yeye binafsi kufanikiwa kibiashara kwa kumiliki mahoteli na other ventures then sioni haja ya yeye kuongeza elimu. Elimu sio kuabudu vyeti but ni delivery ya kile ulichonacho kichwani na kuki convert into visible things!

Acha kupotosha watu humu jukwaani wewe, kwanza ujue hili jukwaa ni la Great Thinkers, watu wanaenda kwa data, wewe unasema tu Mbowe amefanikiwa kibiashara, unajua hizo biashara amezipata wapi? hakuna Mbowe alichofanya zaidi ya kurithi tu kutoka kwa mzee Mbowe ambae alikuwa ni mwana CCM mwenzetu na mali zake nyingi alizipata akiwa waziri wa fedha.

Halafu kusema heti Mbowe amefikisha CHADEMA hapo ilipo ndio una haribu kabisa, kwani Mbowe hakuna alilo lifanya la maana huko CHADEMA, ukweli ni kwamba, mtu aliefanya CHADEMA ikapata jina na kuanza kuongelewa mitaani ni ZITTO.
 
Hao wasomi akina chenge,mramba,balali,Iddi simba,yona,zakia wamelisaidia nini Taifa letu???
 
Kumbe ndio utaratibu wenu (CCM) wa kuiba fedha za Umma mnapopewa ofisi?

Mbowe Jr, hajaiba chochote, kama una ushahidi wa baba yake kuiba akiwa CCM basi kamfukueni kaburini mumpeleke mahakamani.
Tutakuwa tumeongeza idadi ya wezi ambao ni makada wa CCM.

Usikwepe ukweli hatuna haja ya kumfukua mtu hapa, bali ukweli ndio huo kuwa baba yake Mbowe alikuwa ni miongoni mwa watu ambao hawakuwa waadilifu ndio maana ameweza kutajirika akiwa ni mtumishi wa umma, na bahati mbaya mali zake za kifisadi bado zinashikiliwa na mwanae anae jifanya mzee wa mabadiliko. Kama upo tayari kumtetea baba yake Mbowe basi pia uwe tayari kumtetea Lowassa, Sumaye, Rostam Azizi, Chenge and the like, kwani hawa wote ni watumishi au walikuwa watumishi wa umma na pia ni matajiri.
 
Hizo biashara za club na hotels MBOWE ajazibuni yeye,kwani hana kichwa cha kuwa mbunifu, hizo biashara ni za urithi kutoka kwa baba yake ambae alikuwa ni mwana CCM na hizo mali amezipata kupitia CCM akiwa waziri wa fedha, sasa kama mnasema CCM ni mafisadi, tuanze na baba yake Mbowe na Mbowe mwenyewe ni fisadi kwa kuwa bado anaendelea kumiliki mali za kifisadi.
Ok..... As you are boasting yourself here that Mbowe is 'fisadi 'what are you waiting then? You can file a criminal case in the court of Law against Mbowe bse 'ufisadi' is a criminal case! If you will keep on yelling here with no any evidence then a nincompoop will be a good term to suit you pal!
 
wabunge wa CCM wenye shahada tano tano wanafanya maajabu gani bungeni? najua sio kosa lako ni buku saba bro!

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TH]School Name/Location [/TH]
[TH]Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]All Africa Bible College, South Africa[/TD]
[TD="align: center"]B.Ministry
[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom