Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

Status
Not open for further replies.
Cv ya pinda inamuonesha anaweza uwaziri mkuu? Wacha upuuzi wewe!
 
Ukisikiliza hawa vilaza wa Lumumba humu unaweza kujua ni serikali ya aina gani tuliyonayo.

The kind of thinking
The level of thinking
The type of critique they raise
The gurter politics they show case
The stupidity they display
The power hangover in their heads
The arrogance of the colonial era they show

What a bunch of mediocre s playing smart.....
 
Hakuna uhusiano kati ya cv na uchapakazi,kama ingekuwa hivyo basi cv zilizo bongo tungekuwa matajiri sana.
 

Ni bora hawa wa CDM wana elimu inayoeleweka,kuliko wa CCM wenye vyeti feki vya kuunga unga na super glue.
 

Namuona Marehemu Simba wa Vita vya Kale hapo, yeye CV yake ni ipi??
 
Wewe kilaza mbona mgumu kuelewa? mleta mada amesema waziwazi umuhimu wa raslimali watu katika kusukuma gurudumu la maendeleo, hivyo tuanze kujadili hao watu wenyewe kabla ya kuwapa fursa!

Mleta mada sio wewe mwenyewe?
 
Safu ya uongozi Chadema ni nyembamba-Samwel Sitta
 
Nincompoop..!!
Maneno tu....nendendi mahamani ndipo kwenye kutolewa haki.
Maneno yenu humu JF will never change a thing.

I am a man of foward thinking, I don't cling to the dead like some of you do (Nyerere alikuwa hivi akawa vile.... au baba yake Mbowe alikuwa hivi na vile, that's nonsense to me).

We are talking of today and ho we are going to move forward. A country this big with all these natural resources bado tunaishi maisha ya 1974.

An overhaul of the system in inevitable......whether you like it or not! It will happen.
By the way, hatutaki mawaziri ambao ni wabunge...we will start afresh.
 
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
SalutationHonourable
First Name:Amos
Middle Name:Gabriel
Last Name:Makalla
Constituent:Mvomero
Political Party:CCM
Office Location:
Office Phone:+255 763 444455/+255 757 571178
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:amakalla@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth16 September 1971

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Galanos Secondary Schhol
Ruvu Secondary School
Kisongo Primary School
The Institute of Finance Management

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Certifies Public accounts - CPA[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
Company Name
The Parliament.of TanzaniaMember - Mvomero Constituency

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
Chama Cha Mapinduzi - CCM (Youth Union)Accountant
Chama Cha Mapinduzi - CCM (Youth Union)Assistant Secretary
Chama Cha Mapinduzi - CCM (Youth Union)Security Secretary
Chama Cha Mapinduzi - CCM (Youth Union)Accountant

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]

[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]

[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]

 

Katika picha: Nyuma ya Amir Habib Jamal anaonekana Katibu wa Baraza la Mawaziri, Charles Innes Meek ambaye kabla Nyerere hajamteua kuwa Katibu Mkuu wake alikuwa ndiye DC wa Mbulu (1949-57), kwenye chimbuko la Demokrasia, Tanganyika.
 
We mleta mada unaweza kuwa na upungufu wa akili. Kwani CV ndio inayoongoza watu? Ninachojua mimi uelewa, uzalendo,uwajibikaji bidii, nidhamu na adabu ndivyo tunavyohitaji toka kwa viongozi sio makablasha ya kueleza nimesoma mara usa mara canada mara india na utendaji F bali wizi tu kama walivyo viongozi wa ccm kama Chenge na wengineo
 

Thanx a lot chief! You speak it all! These imbecelic sycophants are nagging this nonsense so as to divert the attention of the prevailling ailments of this country! They will win nobody and the will harvest nothing but a mere shame!
 

hivi kunakilaza zaidi ya yule aliyepata zero kidato cha sita.
 
Kabla hujamuhukumu ni lazima ujiulize,je hv sasa waziri anayeongoza wizara ya maliasili na utalii si msomi?mbona Tanzania ni nchi inayoongoza duniani kwa kuua tembo?ukijiuliza hilo swali utagundua kuwa kumbe uongozi ni zaidi ya elimu!uongozi ni UZALENDO! Msigwa ni MZALENDO,kitu ambacho haufundishwi darasani!
 

hivi kunakilaza zaidi ya yule aliyepata zero kidato cha sita.
 
haviwezi kuwa sawa elimu na ujinga. Kuna tofauti kati ya watu na rasilimali watu. Watu ni mburula , rw ni wenye elimu na ujuzi.

Jf yaelekea kuvamiwa na mburula, wasomi hatuwezi kukubali na dunia haiwezi kuingia mkenge kushabikia ujinga.... Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maalifa........ Neno takatifu.
 
Mwinyi anadiploma na hana degree mbona aliweza kuwa rais wa nchi? Acha majungu! 2015 chagua CDM
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…