Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
IMG_20240803_094432.jpg

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Meanwhile 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote,kukosa utulivu na kurupuka mara Kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake ,ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni,kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni WA kumsamehe na kumhudumia,hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika,just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19

ameshafanya kazi serikalini kama wakili wa serikali kwa miaka mingi tu, na ukikutana naye mahakamani utajua kuwa kumbe hata open univeristy ni chuo kikuu, yupo vizuri sana mahakamani. mwacheni afanye kazi, TLS sio kikundi cha wahuni, ni wanasheria wasomi, hamuwezi kuwaendesha mpendavyo.
 
Haifuti historia ya maisha yake na athari za kimalezi kwenye tabia na hulka yake
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote,kukosa utulivu na kurupuka mara Kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake ,ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni,kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni WA kumsamehe na kumhudumia,hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika,just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19

😂😂😂amewapiga knockout MOJA mbaya sana sasa mnaweweseka.. Na huu ni mwanzo tuu.. Subirini ndio kwanza kumekucha
 
halafu watu wanachanganya, akikuambia ametokea unga limited, wanafikiri alikuwa kajambanani, huyo ni mnyakyusa wa mbeya ambaye wazazi wake waliishi arusha kwa sababu ya kutafuta maisha, wangekuwa na maisha magumu arusha wangesharudi mbeya ambako maisha ni rahisi. na ni mtu ambaye yupo well established.
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote,kukosa utulivu na kurupuka mara Kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake ,ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni,kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni WA kumsamehe na kumhudumia,hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika,just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19

Too late
 
Wale kilichowapa nafuu ni kwamba hawajatokea familia fukara ya mtaani Wala kukulia maisha ya uchokoraa 🤪🤪

Si unaona wao Wana utaratibu na Wastaarabu wa Kila kitu?
Akina nani Chura Kiziwi? Kumbe hujui hata maana ya ustaarabu. Sasa Mwabukusi amekuja kuwatia vidole vya jicho kuondoa upofu na kidole cha sikio kuondoa ukiziwi. Dunia huwaenzi walio struggle hadi kufanikiwa.
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote,kukosa utulivu na kurupuka mara Kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake ,ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni,kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni WA kumsamehe na kumhudumia,hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika,just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19

Tatizo ni nini? Hizo si hustling kila mtu anapitia kwenye maisha kufikia anapotaka?

Kanywe chai bro ounguza kelele zisizo za msingi
 
Mwabukusi kweli ni kiazi lakini kipi kinachokuchekesha sasa hapo? Mbona CV iko vizuri au na wewe ni kiazi kama mwabukusi?
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote,kukosa utulivu na kurupuka mara Kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake ,ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni,kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni WA kumsamehe na kumhudumia,hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika,just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19

Alijitahidi sana kujiendeleza, wale wengine waliamua kuchongesha vyeti.
 
Back
Top Bottom