Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote,kukosa utulivu na kurupuka mara Kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake ,ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni,kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni WA kumsamehe na kumhudumia,hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika,just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19

Ni Wakili au si Wakili?
Tuletee ufaulu wa akina chura kiziwi
 
Mwenzako alianzia usekretari, akaja kupata vikazi vya NGO, akaungaunga na hadi leo ni RAHISI wa wagagaikoko..

Yeye tumhurumie au tumuache kwanza?
Hajakulia Mitaani ndio maana ana tabia ambazo hata wewe unatamani Watoto wako warithi.
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote,kukosa utulivu na kurupuka mara Kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake ,ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni,kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni WA kumsamehe na kumhudumia,hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika,just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Yaan ndugu yangu, huwa unaongea pumba Sana. Hata hao CCM unaowatetea kwa hizi Pumba hawawezi kukupa uteuz wala kukufikiria. Kwa kuwa umechoka upstairs vibaya muno.Yaan una hoja dhaifu kabisa kama mtoto wa shule ya kata.
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Kwahyo unataka Kusema Kuwa waliozaliwa kwenye Familia Duni na kupitia Maisha Magumu na kujisomesha kwa Jasho na Damu hawafai kuwa Public Figure na Viongozi...

Hapa ndo mnaniachaga Mdomo wazi sana CCM wenzangu na naonekana Tofauti sana na nyinyi kwa sababu hii..

Mnaamini kwamba Uongozi wameandikiwa watu fulani wenye Familia fulani...
Tanzania Hakuna Royal Family wote tuko sawa kwenye Uso wa sheria
 
hajui kuwa wengi tuliofanikiwa, tumetoka maisha ya chini mno, maisha ya kwenda kilometer nyingi tu shule kwa mguu peke yetu, Mungu akatulinda na tumefika mbali. na siku zote Mungu huwatumia watu wa chini kuwaaibisha wa juu.
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Sasa ni ipi hoja hapo ya kumdiskwalifai, Kuwa dereva wa daldala au kusoma Open university?
 
hajui kuwa wengi tuliofanikiwa, tumetoka maisha ya chini mno, maisha ya kwenda kilometer nyingi tu shule kwa mguu peke yetu, Mungu akatulinda na tumefika mbali. na siku zote Mungu huwatumia watu wa chini kuwaaibisha wa juu.
Thats True!
Wengi wetu tunaotamba mtaani na kujisifia ukisikia Story zetu utafumba Mdomo..
 
Back
Top Bottom