Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

Mwabukusi ni kati ya Mawakili Wazalendo.
Alipambana sana wakati wa Ubinafsishaji wa Bandari zote kwa DP-World.
Wakati huyo unayemfagilia alikuwa kakunja mkia kama kamwagiwa barafu.
Alikuwa anaisifu na kuabudu tu na kuimba
"yajenga nchi"

Chama huru na mtu huru
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote,kukosa utulivu na kurupuka mara Kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake ,ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni,kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni WA kumsamehe na kumhudumia,hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika,just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Haya yote uliyoandika hayasaidii kitu this time. Yanaonyesha tu kwamba hakuwa chaguo lako. Ukisoma studies mbalimbali kinachotakiwa katika dunia ya leo, besides hard (technical skills) ni soft (employability) skills. Hizi ni skills employers are interested in. Na employers wa Mwabukusi wameona anatosha na wale ambao walikuwa chaguo lako unfortunately wamezidiwa naye. Huenda unataka kuonyesha kuwa kusoma Open University of Tanzania (OUT) siyo kusoma, eti? Digrii yangu ya LLB yangu nimesoma OUT na ninajua how demanding it is. Kwenye conventional universities students are instructed, OUT follows student-based learning. Kama kwenye conventional universities tunaweza kuwalinganisha wanafunzi na kuku wa kufugwa (kuku wanaolishwa), OUT ni kuku wa kienyeji (wanaojitafutia chakula wenyewe) na nadiriki kusema mchuzi wao ni mzuri zaidi. Mtu hawezi kutamba mbele yangu simply because amesoma kwenye conventional university na mimi nimesoma kwenye distance learning university. What matters is what the student achieves and I'm proud of my OUT. Imenifundisha kupambana na kufanikiwa as far as education is concerned.
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Mkuu hii na ya ma Abdul ipi mbaya 😂😂aliwaza zake awe muhudumu WA ndege Alisoma wapi vile😂😂😂
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Kazi mnayo mliokulia Masaki na Ousterbay
 
Hatuangalii Elimu yako bali ni Uwezo na Uthubutu wa Kimajukumu na Kiutendaji. Kama Elimu ndiyo Utendaji inakuwaje Benki Kuu kuna PhD's zaidi ya 19 lakini bado tu Uchumi wa nchi Unademadema na kuna Madudu makubwa yanatendeka huko? Serikali ina Wanasheria Nguli ( Wasomi na Wabobezi kabisa ) lakini ni kwanini bado hao hao wanaingia Mikataba ya akina Mangungo na Kuingiza nchi katika Madeni ya kila aina na ya kila Majina?

Jitahidi sana ujifunze Kufikiri na kujenga Hoja zenye Mantiki hasa uwapo hapa JamiiForums ili tusiendelee Kukudharau.
 
Uko vizuri Muungwana
 
Nazungumzia tabia na hulka yake sio Elimu
 
Haya yote uliyoandika hayasaidii kitu this time. Yanaonyesha tu kwamba hakuwa chaguo lako. Ukisoma studies mbalimbali kinachotakiwa katika dunia ya leo, besides hard (technical skills) ni soft (employability) skills. Hizi ni skills employers are interested in. Na employers wa Mwabukusi wameona anatosha na wale ambao walikuwa chaguo lako unfortunately wamezidiwa naye. Huenda unataka kuonyesha kuwa kusoma Open University of Tanzania (OUT) siyo kusoma, eti? Digrii yangu ya LLB yangu nimesoma OUT na ninajua how demanding it is. Kwenye conventional universities students are instructed, OUT follows student-based learning. Kama kwenye conventional universities tunaweza kuwalinganisha wanafunzi na kuku wa kufugwa (kuku wanaolishea), OUT ni kuku wa kienyeji (wanaojitafutia chakula wenyewe) na nadiriki kusema mchuzi wao ni mzuri zaidi. Mtu hawezi kutamba mbele yangu simply because amesoma kwenye conventional university na mimi nimesoma kwenye distance learning university. What matters is what the student achieves and I'm proud of my OUT. Imenifundisha kupambana na kufanikiwa as far as education is concerned.
Yanasaidia ila wewe ndio hujui faida yake
 
Haifuti historia ya maisha yake na athari za kimalezi kwenye tabia na hulka yake

Kama unaamininkatika uliyoandika basi ndio maana hadi leo nchi ni pangu pakavu maana wengi wa wanaotuongoza wanajiita "watoto wa masikini", hivyo historia zao za umaskini zinaamia hadi kwenye serikali...
 
Uko vizuri Muungwana
Kama kawaida yangu na ndiyo maana unaona NACHUKIWA na WAPUMBAVU wengi kwani wanajua kuwa IQ yangu ina BARAKA zote za Baba Muumba Mwenyezi Mungu na ndiyo maana akaniumba na TUNU / SHANI zangu Tukuka Kuu Nne ( 4 ) za......

1. Purely Talented
2. Charismatic Fella
3. Game Changer
4. Entertainer

Imeisha hiyo.......!!
 
Back
Top Bottom