Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

Ni Wakili au si Wakili?
Tuletee ufaulu wa akina chura kiziwi
 
Mwenzako alianzia usekretari, akaja kupata vikazi vya NGO, akaungaunga na hadi leo ni RAHISI wa wagagaikoko..

Yeye tumhurumie au tumuache kwanza?
Hajakulia Mitaani ndio maana ana tabia ambazo hata wewe unatamani Watoto wako warithi.
 
Mwenzako alianzia usekretari, akaja kupata vikazi vya NGO, akaungaunga na hadi leo ni RAHISI wa wagagaikoko..

Yeye tumhurumie au tumuache kwanza?
Secretary.... Anapitia mengi
 
Yaan ndugu yangu, huwa unaongea pumba Sana. Hata hao CCM unaowatetea kwa hizi Pumba hawawezi kukupa uteuz wala kukufikiria. Kwa kuwa umechoka upstairs vibaya muno.Yaan una hoja dhaifu kabisa kama mtoto wa shule ya kata.
 
Kwahyo unataka Kusema Kuwa waliozaliwa kwenye Familia Duni na kupitia Maisha Magumu na kujisomesha kwa Jasho na Damu hawafai kuwa Public Figure na Viongozi...

Hapa ndo mnaniachaga Mdomo wazi sana CCM wenzangu na naonekana Tofauti sana na nyinyi kwa sababu hii..

Mnaamini kwamba Uongozi wameandikiwa watu fulani wenye Familia fulani...
Tanzania Hakuna Royal Family wote tuko sawa kwenye Uso wa sheria
 
hajui kuwa wengi tuliofanikiwa, tumetoka maisha ya chini mno, maisha ya kwenda kilometer nyingi tu shule kwa mguu peke yetu, Mungu akatulinda na tumefika mbali. na siku zote Mungu huwatumia watu wa chini kuwaaibisha wa juu.
 
Sasa ni ipi hoja hapo ya kumdiskwalifai, Kuwa dereva wa daldala au kusoma Open university?
 
hajui kuwa wengi tuliofanikiwa, tumetoka maisha ya chini mno, maisha ya kwenda kilometer nyingi tu shule kwa mguu peke yetu, Mungu akatulinda na tumefika mbali. na siku zote Mungu huwatumia watu wa chini kuwaaibisha wa juu.
Thats True!
Wengi wetu tunaotamba mtaani na kujisifia ukisikia Story zetu utafumba Mdomo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…