Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

Mwabukusi ni kati ya Mawakili Wazalendo.
Alipambana sana wakati wa Ubinafsishaji wa Bandari zote kwa DP-World.
Wakati huyo unayemfagilia alikuwa kakunja mkia kama kamwagiwa barafu.
Alikuwa anaisifu na kuabudu tu na kuimba
"yajenga nchi"

Chama huru na mtu huru
 
Haya yote uliyoandika hayasaidii kitu this time. Yanaonyesha tu kwamba hakuwa chaguo lako. Ukisoma studies mbalimbali kinachotakiwa katika dunia ya leo, besides hard (technical skills) ni soft (employability) skills. Hizi ni skills employers are interested in. Na employers wa Mwabukusi wameona anatosha na wale ambao walikuwa chaguo lako unfortunately wamezidiwa naye. Huenda unataka kuonyesha kuwa kusoma Open University of Tanzania (OUT) siyo kusoma, eti? Digrii yangu ya LLB yangu nimesoma OUT na ninajua how demanding it is. Kwenye conventional universities students are instructed, OUT follows student-based learning. Kama kwenye conventional universities tunaweza kuwalinganisha wanafunzi na kuku wa kufugwa (kuku wanaolishwa), OUT ni kuku wa kienyeji (wanaojitafutia chakula wenyewe) na nadiriki kusema mchuzi wao ni mzuri zaidi. Mtu hawezi kutamba mbele yangu simply because amesoma kwenye conventional university na mimi nimesoma kwenye distance learning university. What matters is what the student achieves and I'm proud of my OUT. Imenifundisha kupambana na kufanikiwa as far as education is concerned.
 
Mkuu hii na ya ma Abdul ipi mbaya 😂😂aliwaza zake awe muhudumu WA ndege Alisoma wapi vile😂😂😂
 
Kazi mnayo mliokulia Masaki na Ousterbay
 
Hatuangalii Elimu yako bali ni Uwezo na Uthubutu wa Kimajukumu na Kiutendaji. Kama Elimu ndiyo Utendaji inakuwaje Benki Kuu kuna PhD's zaidi ya 19 lakini bado tu Uchumi wa nchi Unademadema na kuna Madudu makubwa yanatendeka huko? Serikali ina Wanasheria Nguli ( Wasomi na Wabobezi kabisa ) lakini ni kwanini bado hao hao wanaingia Mikataba ya akina Mangungo na Kuingiza nchi katika Madeni ya kila aina na ya kila Majina?

Jitahidi sana ujifunze Kufikiri na kujenga Hoja zenye Mantiki hasa uwapo hapa JamiiForums ili tusiendelee Kukudharau.
 
Uko vizuri Muungwana
 
Nazungumzia tabia na hulka yake sio Elimu
 
Yanasaidia ila wewe ndio hujui faida yake
 
Haifuti historia ya maisha yake na athari za kimalezi kwenye tabia na hulka yake

Kama unaamininkatika uliyoandika basi ndio maana hadi leo nchi ni pangu pakavu maana wengi wa wanaotuongoza wanajiita "watoto wa masikini", hivyo historia zao za umaskini zinaamia hadi kwenye serikali...
 
Uko vizuri Muungwana
Kama kawaida yangu na ndiyo maana unaona NACHUKIWA na WAPUMBAVU wengi kwani wanajua kuwa IQ yangu ina BARAKA zote za Baba Muumba Mwenyezi Mungu na ndiyo maana akaniumba na TUNU / SHANI zangu Tukuka Kuu Nne ( 4 ) za......

1. Purely Talented
2. Charismatic Fella
3. Game Changer
4. Entertainer

Imeisha hiyo.......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…