Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Acha tabia za fitna za chamani kwako,leo sii jana na juzi sii jana.Waambie na wenzio wote wanaomdhihaki Mungu baada ya kufanya uovu kwa lengo la kuwadhulumu wengi kwa manufaa ya kikundi cha wachache,tena naweza sema wezi wachache.