Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

Wale kilichowapa nafuu ni kwamba hawajatokea familia fukara ya mtaani Wala kukulia maisha ya uchokoraa 🤪🤪

Si unaona wao Wana utaratibu na Wastaarabu wa Kila kitu?
Wanaosema non sense and mmeanzisha nyonyonyoo hao ndiyo wenye unafuu wa malezi? Basi sawa
 
Wewe utakuwa juha, watu waliomuunga mkono wako akina Tunda Lissu, angalia orodha ya wanasheria wake ni vijana watupu?

Utakuwa juha uliyekasirishwa baada ya njama zote mlozofanya za kumzuia kugombea kushindwa
Wewe utakuwa mmoja wa hao madogo wanasheria mnaoongozwa na mihemko ya instagram.
 
Tatizo la msiojiamini, kwanza mnaweka majina yenu halafu mnasapoti ujinga ili mpate teuzi, tunazungumzia wakili msimi Mwambukusi kushinda kwa kishindo urais wa TLS, wewe unarelate na aliye ikilu upate teuzi! Pathetic fool
Pathetic ni wewe unayedhani hilo ni jina langu halisi. Sihitaji teuzi natazama mizania halisi. Namna gani Tanzania kwa kukosa weledi inavyokumbatia watu wenye akili nyepesi na kuacha wale wazuri vichwani.
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Meanwhile 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6

Mwabukusi akisoma OPEN UNIVERSITY? Basi ana akili sana. Kule hakuna kutafuniwa, lazima ujue kujitafutia kama kuku wa kienyeji, vinginevyo "utakufa" njaa. Mawakili hawajakosea kumkabidhi usukani wa TLS. Ataifikisha mbali.
 
Kwa CV ya Samia inasadifu yeye kuwa rais?

Ukizingatia alipiga bashite kidato cha nne ndio akaamua kuolewa?
 
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati.
Leo kawa Rais wa TLS, ya Mungu ni mengi, kesho aweza kuwa Rais wa JMT kabisa maana sifa za kiongozi tunayemtaka waTz anazo.

Muwe mnaandika na kuweka akiba ya maneno.

Kukashifu mtu kwa chuki ama uchawa, ipo siku inakuja utakosa pa kuficha sura yako kwa aibu na kubakia tu unajibaraguza!
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Meanwhile 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6

Kuba majizi yamezaliwa na yamekulia na kulelewa na baba zao wakuu wa mikoa, makatibu tawala wa mikoa, mawaziri na mataisi lakini ndo mijizi na mafedhuli wa TAIFA,,WEWE UH NAKUJA NA HOJA ZA KIBICHI BICHI HAPA ...
 
Mwabukusi akisoma OPEN UNIVERSITY? Basi ana akili sana. Kule hakuna kutafuniwa, lazima ujue kujitafutia kama kuku wa kienyeji, vinginevyo "utakufa" njaa. Mawakili hawajakosea kumkabidhi usukani wa TLS. Ataifikisha mbali.
OUT ndo chuo kikuu pekee hakuna kona kona
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣

But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291

My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Meanwhile 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6

Pole sana kwa hali ya maumivi unayopitia,ni ya muda tu,yataisha, kunywa maji mengi.Huyu aliyepitia maisha magumu ndiye anayehitajika kwa wakati huu apambanie yale yaliyowashinda wote waliotoka kwenye malezi na maisha ya kifahari.
 
Mm n familia yangu tunapenda kuwapongeza mawakili kwa kumchagua n kua na imani nae!? Kuongozwa n wakili msomi miongoni mwao!! Nackitia kua MTU ambae sio msomi wa sheria kupatwa n makasiliko.

Sauti y wengi ni sauti y MUNGU

KAZI ni kipimo cha UTU
Huyu bint hampeni Mwabukusi since ile kesi ya kupiga mkataba wa bandari.we fuatilia post zake
 
Pole sana kwa hali ya maumivi unayopitia,ni ya muda tu,yataisha, kunywa maji mengi.Huyu aliyepitia maisha magumu ndiye anayehitajika kwa wakati huu apambanie yale yaliyowashinda wote waliotoka kwenye malezi na maisha ya kifahari.
Maumivu yapi?
 
Leo kawa Rais wa TLS, ya Mungu ni mengi, kesho aweza kuwa Rais wa JMT kabisa maana sifa za kiongozi tunayemtaka waTz anazo.

Muwe mnaandika na kuweka akiba ya maneno.

Kukashifu mtu kwa chuki ama uchawa, ipo siku inakuja utakosa pa kuficha sura yako kwa aibu na kubakia tu unajibaraguza!
Serikali ipige marufuku matumizi ya neno Rais Kwa taasisi Nje ya Rais wa Nchi.
 
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?

Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.

Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.

Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake
Huku ndiko ninako kukumbusha siku zote, lakini naona akili yako imella sana.

Hapa uliyo yaeleza juu ya Mwabukusi yanakusuta sana wewe pamoja na hao wanaowatuma nyote kuja kwadharau waTanzania humu JF.
Hawa hawa akina Mwabukusi mnao dharau walikotokea na maisha yao; hawa ndio waTanzania halisi ambao nyinyi mnatumia migongo yao kujineemesha wenyewe.
Ni hawa hawa wenye 'background' za akina Mwabukusi ndio sasa wanakataa hada zenu za "lugha za Staha" na matakataka chungu nzima mnayo wahimiza wayakubali ili muendelee kuvuruga raslimali za nchi yao. Ni hao hao mnafanya kila juhudi za kuwanunua baadhi yao, lakini kuna wanao kataa upuuzi wenu kwa kukumbuka maslahi ya nchi yao.

Sasa mjiandae, kwa sababu hao akina Mwabukusi wamewajuwa vyema, na kamwe hawatakubali hadaa zenu tena.

Wewe mtu unayo matatizo sana kichwani mwako. Ni ajabu kwamba nawe unategemewa kuwa na manufaa kwa hao wanao kutegemea katika hii kazi ngumu ya kuwalaza usingizi wananchi wa nchi hii ili waendelee kufanya hujuma zao.
 
Back
Top Bottom