Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

Acha tabia za fitna za chamani kwako,leo sii jana na juzi sii jana.Waambie na wenzio wote wanaomdhihaki Mungu baada ya kufanya uovu kwa lengo la kuwadhulumu wengi kwa manufaa ya kikundi cha wachache,tena naweza sema wezi wachache.
 
Haifuti historia ya maisha yake na athari za kimalezi kwenye tabia na hulka yake
Suala la bandari alichemka sana. Kaishitaki kampuni ya kimataifa kwa kutumia sheria za ndani ya nchi.

Ni mtupu tu, kwa hao wanasheria vijana waliojaa whatsapp na instagram anaonekana ni superstar kwa wale wenye umri uliosogea na wenye kuyajua masuala, huyu jamaa ni papai tu.
 
what the f#ck,,,,
so mtu kuwa dereva wa daladala ni kazi ya kihuni....
Mtu ambaye hakukata tamaa ya kujiendeleza kielimu unamuita mhuni....
Yaan mtu ambaye alidunduliza pesa ili kupata ada ya kujilipia chuo......

Weka wewe CV yako ,tuone ulichompita ....Kama wajiamini weka yako.
 
unamjua SSH kwa undani? Usingesndika haya
 
Kwa nini tuteseke? Jikite kwenye hoja
Kwa hoja gani ya kujikita hapo? Silly question deserve a silly comment, mmehangaika kumzuia mmeshindwa sasa mmekuja na hoja za mipasho ya taarabu mara ya mwisho kusikika enzi za akina Hadija Kopa, mmeshikwa pabaya
 
Hili lichawa lishamba sana...halijielewi.
 
He does not have premafacie and Res ipsa loquitur arguments in support his case in court. Kapitwa kwa kura 400+...
 
Sijajua ulitaka kuandika nini hapo?

Kusomq OUT?
Kuwa dereva daladala ?
Kukulia Arusha mtaani?

Ukisema degree ya OUT Mimi naona ni degree bora maana unajitafutia resources za wewe kufikia lengo.

Ukisema kuwa dereva wa daladala hii ni moja ya kazi nzuri watu wanaendesha maisha yako kupitia hii Kazi .

Kuhusu Kutokufaulu vizuri form six - kufaulu ni kufaulu aliyepata A kafaulu na aliyepata C kafaulu pia.

Unapoandika jambo tumia ufahamu mzuri hii itakusaidia kutopuuzwa na kuwa MTU ambaye hana content.

NB :- MTU yeyote aliyepitia mapito na magumu huyo huwa anafanikiwa Sana MAISHA endapo asipokata tamaa
 
Wewe utakuwa juha, watu waliomuunga mkono wako akina Tunda Lissu, angalia orodha ya wanasheria wake ni vijana watupu?

Utakuwa juha uliyekasirishwa baada ya njama zote mlozofanya za kumzuia kugombea kushindwa
 
Anairudisha nchi kwenye uchumi wa juu kati kwa kasi kubwa. Samia kwa kasi hii atakuja kuwa rais aliyefanikiwa kuliko wote watano waliomtangulia.

Ni msikivu mwenye utulivu mkubwa wa kufanya maamuzi bila kukurupuka.
Tatizo la msiojiamini, kwanza mnaweka majina yenu halafu mnasapoti ujinga ili mpate teuzi, tunazungumzia wakili msimi Mwambukusi kushinda kwa kishindo urais wa TLS, wewe unarelate na aliye ikilu upate teuzi! Pathetic fool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…