Wanaosema non sense and mmeanzisha nyonyonyoo hao ndiyo wenye unafuu wa malezi? Basi sawaWale kilichowapa nafuu ni kwamba hawajatokea familia fukara ya mtaani Wala kukulia maisha ya uchokoraa 🤪🤪
Si unaona wao Wana utaratibu na Wastaarabu wa Kila kitu?
Mbowe hawezi kuwa na CVWeka cv ya rais wako aliyefeli form four
Wewe utakuwa mmoja wa hao madogo wanasheria mnaoongozwa na mihemko ya instagram.Wewe utakuwa juha, watu waliomuunga mkono wako akina Tunda Lissu, angalia orodha ya wanasheria wake ni vijana watupu?
Utakuwa juha uliyekasirishwa baada ya njama zote mlozofanya za kumzuia kugombea kushindwa
Pathetic ni wewe unayedhani hilo ni jina langu halisi. Sihitaji teuzi natazama mizania halisi. Namna gani Tanzania kwa kukosa weledi inavyokumbatia watu wenye akili nyepesi na kuacha wale wazuri vichwani.Tatizo la msiojiamini, kwanza mnaweka majina yenu halafu mnasapoti ujinga ili mpate teuzi, tunazungumzia wakili msimi Mwambukusi kushinda kwa kishindo urais wa TLS, wewe unarelate na aliye ikilu upate teuzi! Pathetic fool
Mwabukusi akisoma OPEN UNIVERSITY? Basi ana akili sana. Kule hakuna kutafuniwa, lazima ujue kujitafutia kama kuku wa kienyeji, vinginevyo "utakufa" njaa. Mawakili hawajakosea kumkabidhi usukani wa TLS. Ataifikisha mbali.Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Leo kawa Rais wa TLS, ya Mungu ni mengi, kesho aweza kuwa Rais wa JMT kabisa maana sifa za kiongozi tunayemtaka waTz anazo.Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati.
Kuba majizi yamezaliwa na yamekulia na kulelewa na baba zao wakuu wa mikoa, makatibu tawala wa mikoa, mawaziri na mataisi lakini ndo mijizi na mafedhuli wa TAIFA,,WEWE UH NAKUJA NA HOJA ZA KIBICHI BICHI HAPA ...Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
OUT ndo chuo kikuu pekee hakuna kona konaMwabukusi akisoma OPEN UNIVERSITY? Basi ana akili sana. Kule hakuna kutafuniwa, lazima ujue kujitafutia kama kuku wa kienyeji, vinginevyo "utakufa" njaa. Mawakili hawajakosea kumkabidhi usukani wa TLS. Ataifikisha mbali.
Pole sana kwa hali ya maumivi unayopitia,ni ya muda tu,yataisha, kunywa maji mengi.Huyu aliyepitia maisha magumu ndiye anayehitajika kwa wakati huu apambanie yale yaliyowashinda wote waliotoka kwenye malezi na maisha ya kifahari.Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake 🤣🤣🤣🤣🤣
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Huyu bint hampeni Mwabukusi since ile kesi ya kupiga mkataba wa bandari.we fuatilia post zakeMm n familia yangu tunapenda kuwapongeza mawakili kwa kumchagua n kua na imani nae!? Kuongozwa n wakili msomi miongoni mwao!! Nackitia kua MTU ambae sio msomi wa sheria kupatwa n makasiliko.
Sauti y wengi ni sauti y MUNGU
KAZI ni kipimo cha UTU
Maumivu yapi?Pole sana kwa hali ya maumivi unayopitia,ni ya muda tu,yataisha, kunywa maji mengi.Huyu aliyepitia maisha magumu ndiye anayehitajika kwa wakati huu apambanie yale yaliyowashinda wote waliotoka kwenye malezi na maisha ya kifahari.
Serikali ipige marufuku matumizi ya neno Rais Kwa taasisi Nje ya Rais wa Nchi.Leo kawa Rais wa TLS, ya Mungu ni mengi, kesho aweza kuwa Rais wa JMT kabisa maana sifa za kiongozi tunayemtaka waTz anazo.
Muwe mnaandika na kuweka akiba ya maneno.
Kukashifu mtu kwa chuki ama uchawa, ipo siku inakuja utakosa pa kuficha sura yako kwa aibu na kubakia tu unajibaraguza!
Tutafute matokeo ya Mbowe ya form four na ya rais wako form four tuyalinganishe.Mbowe hawezi kuwa na CV
Uliyonayo sasa ya CHUKI na ROHO MBAYA dhidi ya RAIS MPYA WA TLS.Maumivu yapi?
Huku ndiko ninako kukumbusha siku zote, lakini naona akili yako imella sana.Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake