Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

Itabidi ujifunze aina za hulka za binadamu kwa kina kwanza.
 
Ulitaka azaliwe ZOysterbay? Unajua Nyerere alikozaliwa? Unajua Magufuli alikozaliwa? Topic ya kijinga sana. Ungekuwa na uelewa ungempongeza kwa kupambana kutoka zero tp hero. Sasa ni rais wa TLS unasemaje na waonaje? Wivu mbaya sana
 
Hongera Mwabukusi umewashinda wote waliojaribu kukwamisha ndoto yako. Ushindi wake ni kielelezo cha kwamba binadamu tunapanga lakini Mungu ndiye anayeamua.
 
Itoshe kusema, humfahamu kabisa huyo mwamba. Uliza alikuwa partner wa law firm gani Arusha alafu ujiulize ilikuwaje kisha ukae kwa kutulia.
 
Lazma alisoma shule za serikali ambazo enzi zile walimu hakuna humuoni mwaka mzima, tofauti na sasa shule walimu tele wanafunzi wanatafuniwa material spoon feeding tele plus material mtandaoni una download unachotaka, kutopata ufaulu wa juu kunategemea mazingira ya elimu siyo akili tu.
 
wengi wetu tumetokea maisha kama hayo, tumeishi maisha magumu, lakini Mungu ametusaidia. ninyi wa geti kali hamjui maisha mbona, na wengi wenu mnavaa pampas hadi ukubwani.
Wengi wao hata marinda hawana hata kwa scanning electromicrograph
 
Hoya hueleweki unatabia ya K akisimama ipo mbele akichuchumaa inatazama chini akiinama ipo nyuma!
 
Nazungumzia tabia na hulka yake sio Elimu
Tabia ya kujigeuza chura unaionaje!
Haifuti historia ya maisha yake na athari za kimalezi kwenye tabia na hulka yake
Kumbe mtu akizaliwa Arusha hatakiwi kua kiongozi? Akizaliwa masikini hatakiwi kua kiongozi? Siku moja nliona msigwa anasimulia historia yake ametoka songea kijijini maisha ya kimaskini kwahiyo hafai kua alipo leo
 
Na bado mtateseka sana mbwa nyinyi
 
Kuna misisiemu imesoma hadi Harvard huko yamewahi isaidia namna gani jamii na nchi kwa ujumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…