didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
wewe wamekujaza propaganda kali ubongoni mwakoMbowe yuko kwenye hatua za mwisho za kufa kisiasa, lkn kinachosumbua ni ile kutokukubaliana na hali.
Hata mgonjwa mahututi ukimwambia unakaribia kukata roho huwa anakataa kabisa.
Nyie si mlikuwa mnakula michembe na matobolwa huko Mwashagata 😂Kipindi anakijenga wanacha na wananchi wengine wapenda mabadiliko wenyewe walikuwa wanafanya nini
Itatulazimu kurudi Mwashagata tukaendelee kula michembe yeye abaki na chama chakeNyie si mlikuwa mnakula michembe na matobolwa huko Mwashagata 😂
Msukule wa Mbowe unahangaika sana kila sekunde kuanzisha nyuzi utafikiri huyu Lissu amekuvua chupi kisha kakukopa. Kwanza wewe muunguja mambo ya Tanganyika yanakuhusu nini?Maria space imemuharibia LISSU kisiasa.
1. Uenyekiti CHADEMA ni wazi uko mbali na yeye.
2. Akihamia chama chengine kama Chauma uwezekano wa chama hicho kuwekewa biti na kujikuta LISSU anayumba yumba.
3. ACT WAZALENDO upande wa Zanzibar hawatukubali kumpokeaa LISSU watahofu ya Lipumba.
Mwisho Lissu atafanya siasa maria space kama Dr Slaa na hapo mwisho wake kisiasa.
Labda ahamie ccm maana chadema ndio iliokuwa ikimpa nguvu kupambana na CCM ktk jukwaa la kisiasa
Chadema ndo hamna akili, kwanini mnapangiwa Mambo yenu na CCM? Àkili zenu haziwatoshi?Ccm imejaa mapumbavu eti Leo yanamshabikia mbowe🪛🪛🪛🪛🪛🪛
We jamaa useless sanaMaria space imemuharibia LISSU kisiasa.
1. Uenyekiti CHADEMA ni wazi uko mbali na yeye.
2. Akihamia chama chengine kama Chauma uwezekano wa chama hicho kuwekewa biti na kujikuta LISSU anayumba yumba.
3. ACT WAZALENDO upande wa Zanzibar hawatukubali kumpokeaa LISSU watahofu ya Lipumba.
Mwisho Lissu atafanya siasa maria space kama Dr Slaa na hapo mwisho wake kisiasa.
Labda ahamie ccm maana chadema ndio iliokuwa ikimpa nguvu kupambana na CCM ktk jukwaa la kisiasa
Huyu akishafakamia mchemsho wa nguruwe anakuja kupumulia humuWe jamaa useless sana
Mimi naomba sana tarehe 21 Januaryi, 2025 ifike haraka na inshallah itafika!Huu uzi wako uko serious au unatafutia usingizi?
Itakuwaje hiyo tarehe 21 boss?Mimi naomba sana tarehe 21 Januaryi, 2025 ifike haraka na inshallah itafika!
Kelele zote hizi za huyu ndiye, huyu siye zitaisha siku hiyo na tutaendelea na mambo mengine.Itakuwaje hiyo tarehe 21 boss?