Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

Nitaleta mrejesho baada ya vipime. Ahsanteni ndugu zangu kwa ushauri . Wengi mmenipa ushauri wa kwenda kupima.. sina budi kuchukua maamuzi magumu ya kwenda kujua hali yangu ya kiafya
 
Hiyo tabia ya kaugonjwa kadogo unakimbilia Google badala ya Hospital, utajikuta una magonjwa ya ajabu mno mengine huwa hata hayapo bara la Africa, shauri yako..!!
Ukweli nimejifunza, wasiwasi na hofu inaletwa na kujua dalili ya ugonjwa na, ukawa na dalilu mojawapo kati ya zilizo andikwa unaweza ukafa kwa presha
 
Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini. Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative, baada ya hapo nilisafiri . Baada ya wiki nilianza kusikia maumivu shingoni nilipogusa niligundua kuna vimbe pande mbili za shingo nikigusa napata maumivu , ni kama mitoki sasa nikaamua kugoogle kujua inatokana na nini .. moja ya sababu ikatajwa ni maambukizi ya vvu. Nikadata ikabidi nimuulize mpenz wangu kama kuna dalili yoyote anaihisi kwenye mwili wake akasema hana. Nikajawa na msongo wa mawazo mpaka nguvu za kufanya shughuli zangu za kila siku nakosa.. ninahofu isiyoelezeka.. naombeni madaktari mnipe ushauri . Naogopa sana kwenda kupima
Hahahaha.....unaweza kucheka visivyochekesha.

Mkuu vijana kila siku wanatamba kula mbususu wanajifanya ukimwi umeisha
 
Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini. Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative, baada ya hapo nilisafiri . Baada ya wiki nilianza kusikia maumivu shingoni nilipogusa niligundua kuna vimbe pande mbili za shingo nikigusa napata maumivu , ni kama mitoki sasa nikaamua kugoogle kujua inatokana na nini .. moja ya sababu ikatajwa ni maambukizi ya vvu. Nikadata ikabidi nimuulize mpenz wangu kama kuna dalili yoyote anaihisi kwenye mwili wake akasema hana. Nikajawa na msongo wa mawazo mpaka nguvu za kufanya shughuli zangu za kila siku nakosa.. ninahofu isiyoelezeka.. naombeni madaktari mnipe ushauri . Naogopa sana kwenda kupima
Hizo zilizovimba ni kitaala³m ni lymph nodes sasa kivimba kwake sio kwamb una hiv inaweza kuwa bacteria infections au any viral

Kwa mwezi kapime hiv....ila leo nakwambia hakuna ugonjwa kupata kama hiv sababu virus vyake ni fragile sana ila ukipata imetoka
 
Back
Top Bottom