mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wengi mnateketea kwa kuendekeza umalaya.vipimo vinaonesha ni kweli umeathirika.im very sorry kwa kupoteza nguvu ya taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu yalikujaje?Hilo pepo litakuua.
Hebu acha zinaa kijana.
UKIMWI gani uambukizwe baada ya siku kumi uone DALILI?
Hilo tatizo usipokuwa makini utafungulia milango ya mapepo yakuamgamize.
Kuna jamaa alitoka na demu Ijumaa, Jumatatu kaenda kupima tangu hapo hajakaa sawa mpaka leo mwaka wa kumi na tatu sasa.
Hakuwa na UKIMWI but nafsi yake inamwambia ana UKIMWIMajibu yalikujaje?
Hakuwa na UKIMWI but nafsi yake inamwambia ana UKIMWI
Hata ilipopita miaka kadhaa alipima akakuta hana HIV na bado akili haikukaa sawa?Hakuwa na UKIMWI but nafsi yake inamwambia ana UKIMWI
Sijawasiliana naye siku hizi, I hope yuko njema sasaHata ilipopita miaka kadhaa alipima akakuta hana HIV na bado akili haikukaa sawa?
Maana nili kutag sehemu, nikaona kimya, Nika jua hutaki ku socialize 😁Niende wapi tena my fav enemy
Lymph nodes hizo zime enlarge .Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini.
Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative, baada ya hapo nilisafiri.
Baada ya wiki nilianza kusikia maumivu shingoni nilipogusa niligundua kuna vimbe pande mbili za shingo nikigusa napata maumivu , ni kama mitoki sasa nikaamua kugoogle kujua inatokana na nini .. moja ya sababu ikatajwa ni maambukizi ya vvu.
Nikadata ikabidi nimuulize mpenz wangu kama kuna dalili yoyote anaihisi kwenye mwili wake akasema hana. Nikajawa na msongo wa mawazo mpaka nguvu za kufanya shughuli zangu za kila siku nakosa.. ninahofu isiyoelezeka.
Naombeni madaktari mnipe ushauri.
Naogopa sana kwenda kupima
😂😂😂😂😂😂😂Mkuu Ukilala Usiku Unafumba macho? Kama haufumbi macho bs ndo wenyewe huo... USIOGOPE KUPIMA MZEE.
Doctor andikia hii mutu dosi ya asumaTarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini.
Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative, baada ya hapo nilisafiri.
Baada ya wiki nilianza kusikia maumivu shingoni nilipogusa niligundua kuna vimbe pande mbili za shingo nikigusa napata maumivu , ni kama mitoki sasa nikaamua kugoogle kujua inatokana na nini .. moja ya sababu ikatajwa ni maambukizi ya vvu.
Nikadata ikabidi nimuulize mpenz wangu kama kuna dalili yoyote anaihisi kwenye mwili wake akasema hana. Nikajawa na msongo wa mawazo mpaka nguvu za kufanya shughuli zangu za kila siku nakosa.. ninahofu isiyoelezeka.
Naombeni madaktari mnipe ushauri.
Naogopa sana kwenda kupima
Nunua vipimo hapo chap mpime yeye kwanza ili ujue utakapoanzia.
Ukimwi siyo kufa, usiogope mjukuu.