Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

Ndio hiyo hiyo dalili ama una nyingine? Kutoka na jasho usiku jee?
Ila umeme huwa mtu anakaa zaidi hata ya miezi 3 ndio dalili za mwanzo kabisa hujitokeza halafu zinapotea
 
Nitaleta mrejesho baada ya vipime. Ahsanteni ndugu zangu kwa ushauri . Wengi mmenipa ushauri wa kwenda kupima.. sina budi kuchukua maamuzi magumu ya kwenda kujua hali yangu ya kiafya
 
Hiyo tabia ya kaugonjwa kadogo unakimbilia Google badala ya Hospital, utajikuta una magonjwa ya ajabu mno mengine huwa hata hayapo bara la Africa, shauri yako..!!
Ukweli nimejifunza, wasiwasi na hofu inaletwa na kujua dalili ya ugonjwa na, ukawa na dalilu mojawapo kati ya zilizo andikwa unaweza ukafa kwa presha
 
Hahahaha.....unaweza kucheka visivyochekesha.

Mkuu vijana kila siku wanatamba kula mbususu wanajifanya ukimwi umeisha
 
Hizo zilizovimba ni kitaala³m ni lymph nodes sasa kivimba kwake sio kwamb una hiv inaweza kuwa bacteria infections au any viral

Kwa mwezi kapime hiv....ila leo nakwambia hakuna ugonjwa kupata kama hiv sababu virus vyake ni fragile sana ila ukipata imetoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…