Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

Wengi mnateketea kwa kuendekeza umalaya.vipimo vinaonesha ni kweli umeathirika.im very sorry kwa kupoteza nguvu ya taifa
 
Majibu yalikujaje?
 
Kitu nilichokuja kugundua katika maisha haya Zawadi pekee ambayo tunatakiwa kujivunia ni UHAI na AFYA NJEMA hiyo inatosha kukufanya kuwa mwenye furaha maisha yako yote.

Unaweza ukawa na pesa nyingi sana hizi tunazohangaika kuzitafuta lakini Afya ikipigwa tu huna furaha tena na pesa zako japo zitakusaidia ila kuna sehemu huwa zinadunda.
STAY FOCUSED & STAY HEALTH.
 
Niliwahi kusoma humu Jukwaani Vijana wakidanganyana eti ukitoka kufanya ngono peku (ngono bila kutumia Kinga) eti we wahi bafuni OSHA kifanyio Chako na Maji ya baridi wale wadudu wanakufa πŸ™Œ

Nikasema kama hali ikiendelea hivi, basi kama Taifa tunaenda kupoteza nguvu kazi ya Vijana wetu

Anyways, kufikia sasa hakuna kipimo kinaweza kupima HIV/UKIMWI Kwa kuwauliza watu

Njia sahihi ni kwenda wewe na Mpenzi wako kituo cha Afya kilicho jirani nawe kwaajili ya vipimo zaidi.

By the way, kuwa imara

Kupata HIV/UKIMWI sio mwisho wa maisha yako
 
Lymph nodes hizo zime enlarge .

Lymph nodes ziki enlarge ina maanisha umepata maambukizi ila sio lazima iwe H.I.V. Inaweza ikawa magonjwa mengine mfano gonorrhoea.

Moja ya dalili za ukimwi stage ya kwanza ni generelarized lymph adenopathy (kuvimba kwa hizo lymph nodes)

Wahi hospitali haraka, usisahau kupima pia Ukimwi huenda umepata virusi vya ukimwi pia.

Wahi mapema kabla dalili hazijaanza kujionesha watu wakakushtukia.
 
Doctor andikia hii mutu dosi ya asuma
 
Nunua vipimo hapo chap mpime yeye kwanza ili ujue utakapoanzia.

Ukimwi siyo kufa, usiogope mjukuu.

Moja ya vitu risky ni kupima HIV nyumbani...hasa kwa case ya mleta mada ambaye amejawa na uoga

Ndio maana wengi wanaopimwa kabla ya kupata majibu wanashauriwa mambo fulani fulani

Nyumbani tujipime uzito,mimba na pressure
 
Hapo hata chuma hakisimami,hofu ni zaidi ya ugonjwa wenyewe kwa sababu hapo unawaza endapo utakutwa na VVU=KIFO!....kumbe hata bila ukimwi death is always hunting us!relax mkuu,pima jua afya yako and be responsible!
 
Mkuu kuna mdau tumemzika jana alikuwa na dalili kama zako cha msingi jiongeze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…