Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.

Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.

Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .

nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .

Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…