Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.

Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.

Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .

nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .

Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Tayari umerogwa
 
Hahahahaha..kwamba wanaendana eeh
ni same same kabsa inabdi bwana mtemi deo kisandu akipatikana tu apewe huyu mke mahari mm nitalipa kwa niaba ya wana jf😂😂
1709718811823.png
 
Back
Top Bottom