Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Uko sahihi.Hahahahaha..Mkuu sie wengine tukiandika majanga na history zetu utajiuliza nilifikaje hapa au ukahisi ni uongo..maana wengine wanaona ktk movie tu sasa sie tumeyapitia na ku experience..hapa tupo kufurahi mwanzo mwisho
Mimi kuna time najionaga kama Mungu kanipendelea sana maana kuna history za watu nikiziangalia harakat za mapito yao unajiona kabisa wewe nenda kasomee 😂😂