Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Kuna vitu tunachukulia kawaida sana, may be sijui lakini dunia Haina Huruma na watu Hawana huruma, huyu binti naona Kuna kitu kinatafuna moyo early, lakini wapi apate msaada? Jamiiforum iliyojinasibu kuwa ni home of greater thinker Ina mkejeli na kumwita chizi............. Infinity love will end all
Najikuta kila nikiona post yake naumia sana na feel the way anavyopitia

Mungu amfanyie wepesi sana
 
Mie simjui alicomment hapa kidogo nikaona isiwe shida nikaenda pm kuongea naye akadai picha nikaogopa kumpa humu kidogo nikamshauri namba ya wtsupp ila sijampa picha akawa haongei namimi nikaanz akuugua nilipoona hali sio nzuri nikawa naokba nakushirikisha watu wanisaidie kimaombi ndio mida ya jana akanitext kuwa nabahati angenitoa kafara niliogopa sana napia kweli nikaona namavitu yake kweli yalikuwa home naada yakufuta mawasiliano naye nikapona nikapata nafuu
Pole sana mkuu, kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo uovu unavyozidi kuenea duniani, shetani akaachilia vitu vyake kwa kasi sana. Mimi juzi kuna ndoto niliota kuhusu ulimwengu wa roho unavyoenda, hakika unabii uloandikwa na Yohana kuhusu Chapa ya Mnyama 666, Nabii wa Uongo, Sanamu ni vya kweli kabisa.

NB: Sio vibaya ukasimulia kila kitu mkuu ili kufungua wengi macho wapate kufahamu tupate kuelewa zaidi.
 
Umenikumbusha kipindi nikiwa mdogo, nilifundishwa nisiposali usiku, majini na wachawi watanijia.

Nilikua nateseka sana, nilikua naogopa giza, kila muda nawaza kuna jini amenijia, nilikua naona vitu vya ajabu usiku, nikisikia kelele za ajabu nje mfano paka, silali.

Nataka kusema nini? Dini Ina dhana mbaya ya kutumia hofu ili kuwashikilia watu. Inafanya tuishi kwa woga sana.

Ukiumwa nenda hospitali kwanza ukajue kiini cha tatizo hayo mengine yatafuata baadae.

Hivi kile kipindi cha safari ya mshindi radio safina bado kipo? Nimevuta picha wewe unaweza kuwa mtu unaekifuatilia sana....
Dini, hasa makanisa yanayojiita ya kilokole, yanaharibu mno maish ya watu, japo mimi naamini mno ktk wokovu, yaani mtu kuokoka.

Haya makanisa sehemu kubwa imani yako haiwezi kujijenga juu ya Kristo Yesu, ila kwa sehemu kubwa sana imani utaiweka kwa hao watumishi, hasa waasisi wa makanisa hayo, wachungaji, manabii n.k
 
JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.

Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.

Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .

nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .

Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Juzikati hapa si ulitaka muongozo wa kuslim sasa mbona Bado unaamini katika damu ya yesu?
 
JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.

Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.

Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .

nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .

Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Shetani trokaaaaaa, pepo trookaaaaaa, shindwaaaaa, ondoka kwa jina la Yesu.


Kuanzia sasa hawatakuweza mamy wangu😘😘😘😘
 
Back
Top Bottom