Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.

Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.

Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .

nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .

Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Kwa nini wanakufatilia adi kutaka kukutoa kafara kipenzi?
 
Jibu zuri kamanda. Wakenya wanasemaga "tuko na shida zetu, tuskize zako kwanini"?
Hahahahaha..Mkuu sie wengine tukiandika majanga na history zetu utajiuliza nilifikaje hapa au ukahisi ni uongo..maana wengine wanaona ktk movie tu sasa sie tumeyapitia na ku experience..hapa tupo kufurahi mwanzo mwisho
 
Mie simjui alicomment hapa kidogo nikaona isiwe shida nikaenda pm kuongea naye akadai picha nikaogopa kumpa humu kidogo nikamshauri namba ya wtsupp ila sijampa picha akawa haongei namimi nikaanz akuugua nilipoona hali sio nzuri nikawa naokba nakushirikisha watu wanisaidie kimaombi ndio mida ya jana akanitext kuwa nabahati angenitoa kafara niliogopa sana napia kweli nikaona namavitu yake kweli yalikuwa home naada yakufuta mawasiliano naye nikapona nikapata nafuu
Mungu anasimama upande wako daima

Usipgope kwa sababu vita ushapiganiwa na kuishinda
 
Back
Top Bottom