🤣🤣🤣🤣🤣Tulia na mume wako mdogo wangu JF Kuna mazombie,Yale anayaimbaga Mondi we zombi wee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Tulia na mume wako mdogo wangu JF Kuna mazombie,Yale anayaimbaga Mondi we zombi wee
🤣🤣🤣🤣Juzikati hapa si ulitaka muongozo wa kuslim sasa mbona Bado unaamini katika damu ya yesu?
Ana shida sana huyu Dada.Nikushauri kitu mdogo/dada angu hunu jf kama ni msaada kupata ni 0.01% inayobaki yote log out go and figure out your self
The more unavyopost ndo the more unazidi kupata damage
Some years baki nilishapataga msongo mkali wa mawazo na sikua najua namna ya kutatua na wala wa kumwambia
Naam nikaja jf ndo niliambulia maumivu kuliko ya awali…. In here no body gives the f… about you or anything
Unapopitia matatizo hata unachoandika muda mwingine kina kua na ukakasi kwa sababu unatamani watu waelewe how you feel lakin unashindwa
Nilitoka jf nikajiuliza hivi source kubwa ya matatizo yangu ni ipi nikaanza kushuhulikia tatizo
Nililog out kama 2yrs hivi
Now nikirud kusoma zile nyuzi natamani kujizaba vibao
Now nipo strong na nimejua jf sio sehem salama kwa matatizo ya mtu yoyote yule
CHUKUA MUDA SOMA NYUZI ZA WATU WANAOHITAJI MSAAADA utaona jinsi watu wanavyocoment,
Just log out,katatue shida yako nje ya hapa
Pole sana Unique Flower kwa hali unayopitia jaribu kutafuta watu watakuonyesha upendo. Ni ngumu sana lakini kwa sababu Wewe ni Mkristo watafute Mashahidi wa Yehova watakusaidia kwa kukufundisha maneno ya Mungu na utapata tumaini jipya inaonekana uko uliko huna marafiki wa kuwaeleza maumivu na hali unayopitia na ndio maana unakuja humu JamiiForum kuandika vitu ambavyo hata havieleweki. Vipi Wazazi wako waliishi kwa upendo na maelewano ? Au walikuwa wanarushiana ngumi kila siku ? Au Mzazi wako mmoja alikuwa mkorofi sana na Mlevi wa pombe ? Au ulilelewa na Bibi ? Enzi za utoto ulikuwa unapewa zawadi au kupongezwa pale unapofanya vizuri au uliishia kudharauliwa na kubezwa ? Nakushauri humu mtandaoni watu Wana matatizo na shida kama zako lakini huwa hawaandiki matatizo Yao humu. Mungu akusaidie upate nguvu ya kuhimili hii hali unayopitia. Nikutakie wakati mzuri.Ni kweli hata jana walikuja
Dada unamtisha ujue 🤣🤣🤣🤣Tulia na mume wako mdogo wangu JF Kuna mazombie,Yale anayaimbaga Mondi we zombi wee
Hapana Dr Lizzy huyu ana shida sana Kuna kipindi anasema alishawahi kununuliwa zawadi ya chupi na mwanamume kumbe zilikuwa zimewekewa uchawi. 🤔Tatizo kuna namna Maua anajiweka huwa nashindwa kumchukulia serious!
Not sure why, but...naonaga kama lengo lake ni kuchangamsha genge, na niche yake kaipata so anacheza humo akijua wafuasi wapo.
🤣🤣🤣🤣Maskini anaweza his yanamnyonya damuDada unamtisha ujue 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂🤣🤣🤣🤣Maskini anaweza his yanamnyonya damu