Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu anatabasamu baada ya kuona pisi kali imetubu.JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.
Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.
Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .
nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .
Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Aisee hayaYesu anatabasamu baada ya kuona pisi kali imetubu.
Mkuu naomba tuzungumze
Damu ya yesu ni Group gani?Aisee haya
Kuna tatizo mahalaHuna mamlaka na mimi kwa jina la yesu nakukemea kwa damu yayesu huna mamlaka na mimi
Ni ujinga wa kiwango Cha juu kutegemea miujiza.JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.
Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.
Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .
nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .
Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Nimeshindwa Mimi 😤🙌
Hadi kafara mnatoa 😂😂Nimeshindwa Mimi 😤🙌
Ni kweli hata jana walikujaHadi kafara mnatoa 😂😂
Ngoja wakukuteTrupachaaaaa haimbergeeee leta leta damu binti mizimu inakutaka puff pufu pargimiti omboloooshwaaai
I don't judge, but maoni yangu ungetuliza kichwa hauko sawa. Alafu sio kila kitu uandike huku unafanya watu waone una shida sehem.JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.
Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.
Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .
nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .
Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Mungu akulindeJAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.
Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.
Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .
nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .
Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Ngoja akapupue me sipoDishi lako linayumba kwa kasi sana
Nikushauri kitu mdogo/dada angu hunu jf kama ni msaada kupata ni 0.01% inayobaki yote log out go and figure out your selfNi kweli hata jana walikuja
Naomba unitumie pm yangu nioneAngalia pm sikudanganyi
Embu tuone hicho unachokisema walikutumia. Sio kwamba ni mtu ameamua tu kukutisha baada ya kuona kile alichokitaka toka kwako hakijatimia?Ukifungua pm nakutumia