Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Uchawi ni level ndogo Sana .

Ukiona unasumbuliwa na ushirikina au mapepo wachafu unabidi kujua kuwa wewe binafsi haupo saw a

Layer za uchawi zinaishia 3 tu na wakati huo layer huwa zipo 7

Hivyo ukiwa innocence huwezi kurogwa na Ushirikina wala mapepo.

Ila Guilty ndo unaweza kurogwa kwakuwa layer huwa zinashuka MTU anapokuwa na hatia

Huyu Unique flower yupo Guilty hasa issue inayomsubua ni kufanya abortion then akiwa na mategemeo ya kuolewa na mwisho Hana mtoto na ndoa Hana.

So she is too depressed and guilty anahisi karogwa na dhamiri yake dhidi ya watu ni mbaya bad conscience.

Watu wenye access ya kumpata huyu Dada wanaweza msaidia mkurudisha katika njia. Kabla hali haijawa mbaya

Unfortunately jamii zetu huwa zinafurahia MTU dishi linapoyumba that's way wanaotazama na kumuona huyu hayupo ni wachache Sana.
 
Usione nimekushindwa lazima nikutoe tu hata ukilala na ndoo iliyo jaa damu ya yesu, nyota yako ni kali sna kibiashara.
Ahahahahha😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.. Mungu anakuona
 
Uchawi ni level ndogo Sana .

Ukiona unasumbuliwa na ushirikina au mapepo wachafu unabidi kujua kuwa wewe binafsi haupo saw a

Layer za uchawi zinaishia 3 tu na wakati huo layer huwa zipo 7

Hivyo ukiwa innocence huwezi kurogwa na Ushirikina wala mapepo.

Ila Guilty ndo unaweza kurogwa kwakuwa layer huwa zinashuka MTU anapokuwa na hatia

Huyu Unique flower yupo Guilty hasa issue inayomsubua ni kufanya abortion then akiwa na mategemeo ya kuolewa na mwisho Hana mtoto na ndoa Hana.

So she is too depressed and guilty anahisi karogwa na dhamiri yake dhidi ya watu ni mbaya bad conscience.

Watu wenye access ya kumpata huyu Dada wanaweza msaidia mkurudisha katika njia. Kabla hali haijawa mbaya

Unfortunately jamii zetu huwa zinafurahia MTU dishi linapoyumba that's way wanaotazama na kumuona huyu hayupo ni wachache Sana.
I know Chief..
Umezungumza upande wa Ndani sana na umemupna kupitia Dimension zingine naelewa
 
Umenikumbusha kipindi nikiwa mdogo, nilifundishwa nisiposali usiku, majini na wachawi watanijia.

Nilikua nateseka sana, nilikua naogopa giza, kila muda nawaza kuna jini amenijia, nilikua naona vitu vya ajabu usiku, nikisikia kelele za ajabu nje mfano paka, silali.

Nataka kusema nini? Dini Ina dhana mbaya ya kutumia hofu ili kuwashikilia watu. Inafanya tuishi kwa woga sana.

Ukiumwa nenda hospitali kwanza ukajue kiini cha tatizo hayo mengine yatafuata baadae.

Hivi kile kipindi cha safari ya mshindi radio safina bado kipo? Nimevuta picha wewe unaweza kuwa mtu unaekifuatilia sana....
Sikuizi hakipo tena mkuu
 
Tatizo kuna namna Maua anajiweka huwa nashindwa kumchukulia serious!

Not sure why, but...naonaga kama lengo lake ni kuchangamsha genge, na niche yake kaipata so anacheza humo akijua wafuasi wapo.
Ukifatilia Trend ya post zake utagundua Something is wrong with her..
Na sidhani kama ni only niche kuna post Fuatilia tu, au anza kufatilia kuanzia sasa sometimes anapata Acute ideation.."Naona through her Words"

Na Nahisi huenda anapitia Isolation na inaonekana anahisi kukataliwa na jamii yake..kiufupi Kuna kitu kapitia Kilichodisrupt her psychs ability

Ni rafiki Yangu But Meanwhile Hata mimi Simwelewi kabisa..
 
Katika uzi mmbaya number moja Jf nilio usoma ni huu wa ujinga .
Hivi Kuna watu wapo hivyo kweli au nimelewa ,!
Na Yuko karibu na Mimi anipigekofi nitoke usingizini.
Mama kwa nijuwavyo Mimi 100% hata huyo Yesu huna
 
Ukifatilia Trend ya post zake utagundua Something is wrong with her..
Na sidhani kama ni only niche kuna post Fuatilia tu, au anza kufatilia kuanzia sasa sometimes anapata Acute ideation.."Naona through her Words"

Na Nahisi huenda anapitia Isolation na inaonekana anahisi kukataliwa na jamii yake..kiufupi Kuna kitu kapitia Kilichodisrupt her psychs ability

Ni rafiki Yangu But Meanwhile Hata mimi Simwelewi kabisa..
You might be right Doc! There might be some serious underlying issues zinazompelekea aandike anayoandika.

I personally wish angebadili approach yake ili watu wanaoweza kumsaidia kwa namna moja ama nyingine wamchukulie serious and offer her the help she needs. Maana kwa maoni yangu, and I do hope I'm wrong, she seems very dramatic. Matukio yake mengi nayaona yako exaggerated for the sake of wanting to draw attention /be the center of it. Uwasilishaji wake sio wa mtu anaetafuta suluhisho...bali anaetafuta attention, whether good or bad!

Ntajaribu kumfuatilia zaidi nione, pengine simtendei haki kum-judge hivyo.
 
Haya Sasa unakuta ni mke wa mtu na watoto wameridhi kwa Mama yao hapo mwanaume ujishikilie .

Kuna watu wanatakiwa kusamehewa dhambi wenye wanaishi na Nazi Kama hizi
 
JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.

Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.

Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .

nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .

Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Nitaje tu, haina noma.
 
Back
Top Bottom