real hustler
Senior Member
- Mar 12, 2021
- 143
- 204
NdioLaki 3?
Ha ha ha.Laki 3?
Hiyo laki 3 yako inakuwasha unataka tu utapeliwe.Kwa dar es salaam kuna maeneo ya viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3
Upimaji usiwe Kwa foot
Tuseme mfano Kwa 20m Kwa 20m Kwa kuanzia.
Kigezo eneo lolote ila iwe ndani ya dar
Wajuzi mtujuze📌
Jaribu ku cheki malariaKwa dar es salaam kuna maeneo ya viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3
Upimaji usiwe Kwa foot
Tuseme mfano Kwa 20m Kwa 20m Kwa kuanzia.
Kigezo eneo lolote ila iwe ndani ya dar
Wajuzi mtujuze📌
😅Labda kawe beach maji yakiwa yamekupwa unapata hata Kwa laki 2 mkuu kama upo tayari nicheki pm mjini shule
😅Jaribu ku cheki malaria
Vipo mzeeLaki 3?
😅Labda kawe beach maji yakiwa yamekupwa unapata hata Kwa laki 2 mkuu kama upo tayari nicheki pm mjini shule
😡Hiyo laki 3 yako inakuwasha unataka tu utapeliwe.
😅Ha ha ha.
Haha Laki 3?Labda upate mtu ana shida, anauza ili atatue shida zake.....
Chanika kwa moto, tumekutana 20*20 eti Mil 4.Labda nje ya daslam kama bagamoyo na maeneo ya mvuti hukoo mixer chanika mwisho mabondeni na tambani wilaya ya mkuranga na mipeko hukoo
Ndio mkuuHaha Laki 3?