Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

Dar wananishangaza sana eti ukubwa wa viwanja wanauandika kwa futi zionekane nyingi. Unakuta kiwanja kina Futi 30 kwa Futi 20. 😂😂😂 nilicheka sana nkawaambia gawanya kwa 3 wakagoma kufanya biashara
 
Labda ukubwa uwe 2×3 upate sehemu ya kuwakodishia watu wanaotaka kuweka mlingoti wa bendera kama hao watu wana exist.
 
Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

Upimaji usiwe Kwa foot

Tuseme mfano Kwa 20m Kwa 20m Kwa kuanzia.

Kigezo eneo lolote ila iwe ndani ya Dar

Wajuzi mtujuze📌
hiyo labda itakuwa Dah na sio Dar
 
Labda maeneo ambayo kila mwaka yanapitiwa na mafuriko mvua zikinyesha!
 
Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

Upimaji usiwe Kwa foot

Tuseme mfano Kwa 20m Kwa 20m Kwa kuanzia.

Kigezo eneo lolote ila iwe ndani ya Dar

Wajuzi mtujuze📌

Daktari si alikwambia hakikisha unamaliza dozi lakini?
 
Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

Upimaji usiwe Kwa foot

Tuseme mfano Kwa 20m Kwa 20m Kwa kuanzia.

Kigezo eneo lolote ila iwe ndani ya Dar

Wajuzi mtujuze📌
Labda mita 3x3
 
Laki 3 ya Kenya? Kama ya TZ hata Mkoa wa Pwani haupati kiwanja labda Pori(Shamba).
 
Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?
Hili swali lako lingekuwa na uhalisia na mashiko iwapo tu, hiyo laki tatu ingekuwa ni mfano wa bei kwa square meter moja. Ila sio kama ulivyoweka.
 
Dar hakuna kinachokosekana. Viwanja vya laki 3 vipo ila ujiandae kushinda mahakamani

Au kukimbia / kuhama wakati wa mvua.
1728647407446.png

//
1728647434047.png

My take: Angalau angesema Milioni 3
 
Back
Top Bottom