Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Nyie wazee wa kaskazini! Mm pia mlandiz au kibaha naona mbali kwenda zanzibar nitapata tabu. Unatak wap kisemvule au bunju?Kigamboni.... Sijui kwanini huwa pamenikalia kushoto mie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wazee wa kaskazini! Mm pia mlandiz au kibaha naona mbali kwenda zanzibar nitapata tabu. Unatak wap kisemvule au bunju?Kigamboni.... Sijui kwanini huwa pamenikalia kushoto mie.
Hapana maeneo napenda ni kinyerezi, kule mitaa ya Mongo la ndege (katikati ya kinyerezi na ukonga) ila kigamboni hapana kwakweli, kitunda, chanika, hapa hapana kabisa....Nyie wazee wa kaskazini! Mm pia mlandiz au kibaha naona mbali kwenda zanzibar nitapata tabu. Unatak wap kisemvule au bunju?
Fika chanika achana na hawa Madalali wenye fremu tafuta dalali wa mtaani wa kawaida chakalamu akupeleke ukapaone utakuja kusimulia km kweli unataka ku-prove ni vipande unapimiwa kwa hio ukitaka eneo kubwa andaa at least 1M au 1.5M, nazungumzia kipande cha kujenga chumba kimoja au kulina kibustani sio uwanja wa mpira kwa hio ukitaka vipande vingi pesa inapanda ndio inaweza kufika hio 600k hapo utakua umevuna vipande 6 tu kila kipande laki na baada ya hapo jiandae kwa changamoto utakazo kumbana nazo km na wewe hujatafuta mteja uuze maana ni eneo ambalo mvua ikinyesha panajaa maji ila ukienda kipindi hakuna mvua huwezi kujua km ni eneo la maji mimi nakwambia hivi sababu nilienda nikapaona wenyeji wakashauri nisinunue kwanza niende mvua ikinyesha nipaone kwanza then niamue nasuka au nanyoaHakuna eneo hilo dar... labda laki 6 tena pwani kunaitwa Magodani
Chanika gan hiyo? Usishangae unafika homboza ukapanda pikipiki 4000 mpaka saiti. Huko utaenda kununua kikwete msanga zolela hiyoFika chanika achana na hawa Madalali wenye fremu tafuta dalali wa mtaani wa kawaida chakalamu akupeleke ukapaone utakuja kusimulia km kweli unataka ku-prove
Ndio nimekwambia ni huku ndani ndani huko kufika boda lazima ahusike na pana mwendoChanika gan hiyo? Usishangae unafika homboza ukapanda pikipiki 4000 mpaka saiti. Huko utaenda kununua kikwete msanga zolela hiyo
Usifanye huo ujinga, hiyo ni pwani.. mbinu za real estate agent n madalal nazjua ndo man nkasema hivyo. Labda kuwe na factor nyingine kama ukuaji wa kasi. Man hesab nzur ni maendeleo. Homboza kuja kariakoo sio poa. Huko nako upande boda 4000. Huk sio chanika tena ulizia wenyejiNdio nimekwambia ni huku ndani ndani huko kufika boda lazima ahusike na pana mwendo
Hapana sio Dar, ni huku kijijini kwetu. Nataka cha afuhamsini.Wapi huko dar kuna kijiji?
Kipo tuma advansi chaapHapana sio Dar, ni huku kijijini kwetu. Nataka cha afuhamsini.
Atupe hiyo laki tatu,ni mtaji mkubwa kule kwa kanjiInamaana ni pori sana huko mpaka 20x20 mil 4
Tatizo lazima Kuna draw na ya kufungwa ndio hatuijui ni ipiWeee thubutu,ila Bado natafakari bora abeti tu,anamwekea Yanga mazima kwenye ligi,mpaka ligi inaisha anapata kiwanja kibwegere
Huko Magodani hali ipoje?Hakuna eneo hilo dar... labda laki 6 tena pwani kunaitwa Magodani
Magodani unafika chap mkuu, panda gari z kibada ukifika kibada panda gari za mwasonga. Shuka mwisho kabisa na ulizia magodaniHuko Magodani hali ipoje?