Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

Nyie wazee wa kaskazini! Mm pia mlandiz au kibaha naona mbali kwenda zanzibar nitapata tabu. Unatak wap kisemvule au bunju?
Hapana maeneo napenda ni kinyerezi, kule mitaa ya Mongo la ndege (katikati ya kinyerezi na ukonga) ila kigamboni hapana kwakweli, kitunda, chanika, hapa hapana kabisa....
 
Hakuna eneo hilo dar... labda laki 6 tena pwani kunaitwa Magodani
Fika chanika achana na hawa Madalali wenye fremu tafuta dalali wa mtaani wa kawaida chakalamu akupeleke ukapaone utakuja kusimulia km kweli unataka ku-prove ni vipande unapimiwa kwa hio ukitaka eneo kubwa andaa at least 1M au 1.5M, nazungumzia kipande cha kujenga chumba kimoja au kulina kibustani sio uwanja wa mpira kwa hio ukitaka vipande vingi pesa inapanda ndio inaweza kufika hio 600k hapo utakua umevuna vipande 6 tu kila kipande laki na baada ya hapo jiandae kwa changamoto utakazo kumbana nazo km na wewe hujatafuta mteja uuze maana ni eneo ambalo mvua ikinyesha panajaa maji ila ukienda kipindi hakuna mvua huwezi kujua km ni eneo la maji mimi nakwambia hivi sababu nilienda nikapaona wenyeji wakashauri nisinunue kwanza niende mvua ikinyesha nipaone kwanza then niamue nasuka au nanyoa
 
Fika chanika achana na hawa Madalali wenye fremu tafuta dalali wa mtaani wa kawaida chakalamu akupeleke ukapaone utakuja kusimulia km kweli unataka ku-prove
Chanika gan hiyo? Usishangae unafika homboza ukapanda pikipiki 4000 mpaka saiti. Huko utaenda kununua kikwete msanga zolela hiyo
 
Ujue mimi nilivyosoma uzi nikajua jamaa anatania, nilivyoendelea kuso.q comments za wadau ndo najua kweli yuko serious.
 
Ndio nimekwambia ni huku ndani ndani huko kufika boda lazima ahusike na pana mwendo
Usifanye huo ujinga, hiyo ni pwani.. mbinu za real estate agent n madalal nazjua ndo man nkasema hivyo. Labda kuwe na factor nyingine kama ukuaji wa kasi. Man hesab nzur ni maendeleo. Homboza kuja kariakoo sio poa. Huko nako upande boda 4000. Huk sio chanika tena ulizia wenyeji
 
Nenda kibada mwisho panda gari zinazo enda mwasonga. Shuka hapo mwasonga panda bodaboda waambie wakupeleke fungoni nauli ya boda 1500 tu. Utapata iko kiwanjwa Cha laki 3
 
Back
Top Bottom