Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

unamaanisha laki tatu? au milion 3? kama ni laki 3 labda uende Morogoro mahenge ulanga unaweza pata huko
Vipo ila vya kukata huko ni mbali kidogo hii niliikuta Chanika huko kuna jamaa alikua anadalalia vilipo ni maeneo ya ndani ndani huko wewe huendi maana kuna sehemu nilienda kukagua mwenyeji pale akasema hapa usinunue sasa hivi subiri mvua inyeshe kisha njoo ufanye maamuzi hapa mvua ikinyesha ni bwawa ila jua likiwaka ni tambalale huwezi kujua km hapo mvua ikinyesha panageuka bwawa kabisa kwa hio mzee unanunua eneo la bwawa nikasubiria mvua kwenda kucheck kweli ni bwawa kabisa
 
mvuti upate cha lak 3?, Chanika upate cha laki tatu huwezi pata
Unapata vipo usibishe ila maeneo hayo ukinunua mvua ikinyesha huna wa kumlaumu umenunua kwenye makazi ya maji yaan juakali ukienda kununua unapaona pako safi kabisa lipia subiri mvua inyeshe uone ulichokinunua ndio utaelewa kwanini walikuuzia kwa bei hio
 
Back
Top Bottom