Safi sana... Kwa hii fahion statement mie nimewa- deifine kama watu ambao hawaendeshwi kiholela ama kuburuzwa buruzwa... Kwa maono yangu, hii fasion sense yao inatupa ujumbe kwamba hawa ni watu wanaoweza kujiamulia mambo yao wenyewe wanayoyaona yana heri na yanayofaa... Inaonyesha hawafanyi mambo kwenye maisha yao kwasababu tu eti nani kasema au kwasababu flani anafanya... Nawaona kama sio watu wa kufuata mkumbo wala kuigaiga mambo.
Kwanza kwa ile hali ya hewa ya kule ni lazima mtu uvae hizo nguo za baridi, ila machalii wametupia pia hapo statement ya personality yao.