GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kwa Mashabiki wa Simba SC mtakaoenda Uwanjani kuweni makini sana na Wallets zenu na Simu zenu za Gharama.
Waulize Dezo Dezo FC wanaujua. Mimi niulize tu kuhusu Pira Tattoo na Pira la Meneja Pantev.mechi saa ngapi
Eti Yanga ina hela. Kamuulize mwinyi Zahera kisha rudia kusoma uzi wako.Timu ya simba ni masikini. Isipoweka kiingilio, wachezaji watagomea mechi kwa kukosa posho.
1. Azam aliruhusu mashabiki kuingia bure (kamuiga Yanga)
2. Yanga wameruhusu mashabiki wao kuingia bure (hawana njaa ndogo ndogo).
3. Singida Black stars wameruhusu mashabiki kuingia bure eneo lote la mzunguko.
4. Simba pekee kwa sababu ya njaa, wameweka kiingilio huku ikicheza na timu kibonde (Usingizi! Sijui Usingizini)!! Timu haina hela! Inategemea hela za viingilio na ukanja ujanja wa kuwachangisha mashabiki kuchangia ujenzi wa uwanja hewa! Kuwaambia mashabiki walipie kiingilio Uwanja wa Mkapa, na wakati wanafahamu mechi imehamishiwa Zanzibar!
Usikute huko kijijini uliko mpaka leo utakuwa unajua Mwinyi Zahera ndiyo kocha wa Yanga! Maana umenipa maelekezo kwenda kumuuliza mtu ambaye hayupo kwenye vitabu vya Yanga!Eti Yanga ina hela. Kamuulize mwinyi Zahera kisha rudia kusoma uzi wako.
Mechi nyingine zote huwa mpo maskini ila hii ya leo ndo mnahela.
Simba njaa sana, wakipigwa fine na CAF haraka wanakimbilia kwa mashabiki kuchangisha, yaani wao kama wao hawana hela ya kulipa fine hata buku, hawana ofa yoyote kwa mashabiki zao, kutokana na vurugu zile za kukusanya viingilio alafu mechi ikachezwa Znz kama ingekuwa timu timamu mechi moja wangetoa bure lakini wao pesa mbele.Timu ya simba ni masikini. Isipoweka kiingilio, wachezaji watagomea mechi kwa kukosa posho.
1. Azam aliruhusu mashabiki kuingia bure (kamuiga Yanga)
2. Yanga wameruhusu mashabiki wao kuingia bure (hawana njaa ndogo ndogo).
3. Singida Black stars wameruhusu mashabiki kuingia bure eneo lote la mzunguko.
4. Simba pekee kwa sababu ya njaa, wameweka kiingilio huku ikicheza na timu kibonde (Usingizi! Sijui Usingizini)!! Timu haina hela! Inategemea hela za viingilio na ukanja ujanja wa kuwachangisha mashabiki kuchangia ujenzi wa uwanja hewa! Kuwaambia mashabiki walipie kiingilio Uwanja wa Mkapa, na wakati wanafahamu mechi imehamishiwa Zanzibar!
Msemaji wao Ahmed Ally muongo muongo sana. Anawadanganya, na wenyewe wanaamini. Kwenye hii ishu ya kiingilio, walitakiwa na wenyewe waachie tu mashabiki wao waingie bure. Kwanza timu imeshapata matokeo ugenini! Timu 3 zimeondoa viingilio! Ila wao eti wamekaza. Kqma siyo njaa, ni nini!!Simba njaa sana, wakipigwa fine na CAF haraka wanakimbilia kwa mashabiki kuchangisha, yaani wao kama wao hawana hela ya kulipa fine hata buku, hawana ofa yoyote kwa mashabiki zao, kutokana na vurugu zile za kukusanya viingilio alafu mechi ikachezwa Znz kama ingekuwa timu timamu mechi moja wangetoa bure lakini wao pesa mbele.
Mwaka wa 2 huu unaenda hawatangazi mapato wala matumizi, zaidi Mo analalamika hasara ila hasemi anachokipata Simba