Kwa hiyo umejipa kushindwa kwake kuwa kushindwa kwako?Kushindwa hakuambukizi kama ugonjwa.Kupanga kushindwa ni kuchagua kukosa kabisa.Hata mimi hapo ndipo ninapoona changamoto yake. Yeye kama alishindwa na katiba hii akaiona tamu akashindwa kuichukulia maamuzi ni nani asiyependa kuitumia katiba iliyopo ili impe utamu wa madaraka? Yeye kama alishindwa kuchukua maamuzi anataka nani ajikaange kwa katiba mpya?
Hapo alikosea sana!
Inasikitisha sana.Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo.
Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia kutesa, kuibia watanzania/ Watanganyika/kuuza rasilimali zao , kuteka, kuua, kupoteza watu , kupora watu ardhi zao etc etc
SASA TAGANYIKA INAUZWA KAMA NJUGU SOKONI, WAMASAI WANATESWA ETC ETC KWA VILE KATIKA HII ALIYOIACHA NYERERE
Alipashwa , kama mtakatifu kuifuta katiba hiyo!Lakini,alilitambua hilo na kulisema waziwazi.Akaenda mbele na kuasa yachukuliwe yaliyo mema na mabaya yaachwe.Changamoto imekuwa kwa wapokeaji.
Je,kutokuifuta katiba mbovu ni kigezo na utetezi wetu wa kuendelea kuikumbatia kwa mahaba?Alipashwa , kama mtakatifu kuifuta katiba hiyo!
kwani malaika weusi hawapo?Kwani kuna kumbukumbu zozote zile za mtakatifu toka afrika??au malaika mweusi??
Ndicho wanachokipignia chadema na wengine. Lakini kwa vile katiba inampa Rais Umungu Mtu hakuna wa kuibadirisha labda kwa vitaJe,kutokuifuta katiba mbovu ni kigezo na utetezi wetu wa kuendelea kuikumbatia kwa mahaba?
Kosa la Nyerere litupe nguvu ya kuidai katiba mpya.Ndicho wanachokipignia chadema na wengine. Lakini kwa vile katiba inampa Rais Umungu Mtu hakuna wa kuibadirisha labda kwa vita
Akili huna,
Umeenda mbali mno aisee!πππNimesema siku zote, jibu hoja kama huna la kujibu pita, siyo matusi! Matusi ya nini?
Muulize mama yako kama sina akili, narudia, muulize mama yako kama sina akili.
Katiba haibadilishwi kama yeboyebo mguuni.Ni mchakato.Kuendelea kumtupia Nyerere lawama kwa suala ambalo lipo mikononi na kwenye uwezo wetu ni kulikataa tatizo.Ilikuwa ni suala la wakati tu.Wakati tunao,sawa.Je,uamuzi na utashi upo upande wetu?Kwa wakati ule tungewaita Chawa wa Nyerere pia
Hana utakatifu wowote bali dictator tu
Kuhamisha watu wakaliwe na Simba ni Utakatifu?
Kusema Rais akitaka kuwa Dictator kwa katiba hii, kwanini hakubadili kama ni mtu wa haki?
Tuseme ukweli na tuache unafiki
Retired .Nimesema siku zote, jibu hoja kama huna la kujibu pita, siyo matusi! Matusi ya nini?
Muulize mama yako kama sina akili, narudia, muulize mama yako kama sina akili.
Nioneshekwani malaika weusi hawapo?
Huo mchakato mbona unakwepwa kwa kila kiongozi anaeshika madaraka?Katiba haibadilishwi kama yeboyebo mguuni.Ni mchakato.Kuendelea kumtupia Nyerere lawama kwa suala ambalo lipo mikononi na kwenye uwezo wetu ni kulikataa tatizo.Ilikuwa ni suala la wakati tu.Wakati tunao,sawa.Je,uamuzi na utashi upo upande wetu?
Unataka kusema yeye Nyerere alishindwa kubadili ?Katiba haibadilishwi kama yeboyebo mguuni.Ni mchakato.Kuendelea kumtupia Nyerere lawama kwa suala ambalo lipo mikononi na kwenye uwezo wetu ni kulikataa tatizo.Ilikuwa ni suala la wakati tu.Wakati tunao,sawa.Je,uamuzi na utashi upo upande wetu?