Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Israel ya mchongo haina precision katika kuhit target.Sukhoi inaruka daily huko ...
View: https://youtube.com/shorts/qh5o4BYJ1wY?si=_-MYuOn1NmN_4Idf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel ya mchongo haina precision katika kuhit target.Sukhoi inaruka daily huko ...
Israel ya mchongo haina precision katika kuhit target.
View: https://youtube.com/shorts/qh5o4BYJ1wY?si=_-MYuOn1NmN_4Idf
Israel ya mchongo haina precision katika kuhit target.
View: https://youtube.com/shorts/qh5o4BYJ1wY?si=_-MYuOn1NmN_4Idf
Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Pole sana kwa Kuvimbiwa Upumbavu.Kati ya nchi ya hovyo na yenye rais wa hovyo ni hiyo!!
Raisi mwenyr akili anaweza akawa mkabila??
Raisi mwenye maono serikali nzima jeshi limejaaa kabila moja
Raisi mwenye utu na uzalendo anaweza ua raia wake mamilion na mamilioni
Huyo n raisi wa kabila lake si dhan kama ni rais wa nchi
Ndio uongo uliomezeshwa?Israel ni nchi ndogo sana kwa ukubwa wa eneo la kijiografia, na imezungukwa pande zote na nchi maadui wakubwa ambao ni majirani zake. Licha ya udogo wake wa eneo, Israel imewahi kupigana vita na kuwashinda karibia majirani zake wote wanaomzunguka. Na mpaka leo, majirani zake karibia wote hawataki tena kujiingiza kwenye ugomvi wa vita vya muda mrefu ilivyopo kati ya Israel na Gaza kwa kuogopa kipigo kutoka kwa Israel.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.
Kwa hiyo vita ya kisasa IDF mpaka sasa anashindwa kufua dafu kwa hamas.Nimekuelewa ndiyo.
Kumbuka: Vita vya siku hizi vinapiganwa kisayansi zaidi, unaweza ukawa na Wanajeshi wapiganaji wapatao 20,000 lakini unaweza ukapigwa na Jeshi pinzani lenye wanajeshi wapatao 400 tu, hao wanajeshi 400 pekee wanaweza wakashinda vita dhidi ya jeshi pinzani lenye idadi ya wapiganaji 20,000. Hii inawezekana kabisa kutokea kwa vita vya kisasa vya zama hizi
Tumeshindwa na nchi zinazojielewa ila sio Rwanda.Hilo ndio tatizo kubwa walilonalo wa-Tanzania walio wengi. Wameingiza siasa kwenye kila kitu, ndio maana nchi yetu haisongi mbele kimaendeleo, tumeshindwa kwenye kila nyanja ya kupiga hatua mbele ya kimaendeleo kutokana na janga hili la kuingiza siasa kila mahali.
Hii Rwanda mnayoi over rate itaja aibishwa kama Israel mnayoufananisha nayo ilivyokua over rated na ikaja kuaibishwa na hamas.Usijifiche kwenye kivuli cha historia, ukweli ni kwamba Paul Kagame na timu zake wako vizuri na wamejipanga vizuri kwenye tasnia ya medani na intelijensia ktk ukanda huu wa Afrika.
Akikupa jibu niite nimpe hela.Kuna nchi gani afrika mashariki inaizidi tz kwa mtandao wa barabara za lami,huduma za afya,huduma za fedha!?
Sio tu ya kishenzi bali pia ni nchi ya kimasikini tu.Naona unawaza takataka! Unaamini kuwa Isarel ni sifa nzuri au nini? Rwanda ni nchi ya kishenzi tu! Au kupokea wakimbizi wa Ulaya unaona ni sifa ya kupendwa?
Previously DsjHuyu kiazi mwezi mchanga wa jf anafahamu hatufahamu hapo kawe anapoishi kwa dada yake..
Kuepuka vita ni faida mara 100 kuliko kushinda vitaPk atafute amani na majirani, ugomvi hauna faida